Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Ebu tuanze na ww jamani kaka Daby,hii workout time wacha nkapige zoez alaf ntakuja kutiririka hapa we ngojea tu nirudi[emoji12] [emoji12]Ukifika saa ngapi? Haya umekwisha fika tiririka ebu
Ebu tuanze na ww jamani kaka Daby,hii workout time wacha nkapige zoez alaf ntakuja kutiririka hapa we ngojea tu nirudi[emoji12] [emoji12]Ukifika saa ngapi? Haya umekwisha fika tiririka ebu
[emoji14][emoji14]nakusubiria hapa hapaEbu tuanze na ww jamani kaka Daby,hii workout time wacha nkapige zoez alaf ntakuja kutiririka hapa we ngojea tu nirudi[emoji12] [emoji12]
Hapa bado upo hahaha[emoji23] [emoji23] nlijua ushafika mbali ,haya tuanze na wewe[emoji12][emoji14][emoji14]nakusubiria hapa hapa
Wewe umekuwa kipande cha uhai wangu japo tupo mbalimbali !!Hapa bado upo hahaha[emoji23] [emoji23] nlijua ushafika mbali ,haya tuanze na wewe[emoji12]
Mbalimbali si hoja muhimu mioyo kua pamojaWewe umekuwa kipande cha uhai wangu japo tupo mbalimbali !!
Pamoja itakuwajee ikiwa mmoja mroho na mlafi siatampunja mwenza !!!Mbalimbali si hoja muhimu mioyo kua pamoja
Mwenza unamambo wewePamoja itakuwajee ikiwa mmoja mroho na mlafi siatampunja mwenza !!!
Wewe unahuruma kwa watu masikini...Mwenza unamambo wewe
Masikini sina hali juu ya mtu fulaniWewe unahuruma kwa watu masikini...
Fulani anapenda kujitolea misaada bila kujitangaza kidamunasi....Masikini sina hali juu ya mtu fulani
Kidamunasi au kadamunasi ulicho maanisha wewe Zamiluni Zamiluni?Fulani anapenda kujitolea misaada bila kujitangaza kidamunasi....
Zz njoo ujibu swali lako hukuKidamunasi au kadamunasi ulicho maanisha wewe Zamiluni Zamiluni?
Huku kashakimbia labda yupo hukoZz njoo ujibu swali lako huku
Huko nako pia hayupo labda kashaenda kulalaHuku kashakimbia labda yupo huko
Kulala ndio,maana aliniaga anaenda kumpa anty kampan,Zz ndo umegoma kuja haya tuache sie tuendelee hapa kulonga zaidHuko nako pia hayupo labda kashaenda kulala
Zaid ya yote naupenda sana huu mchezoKulala ndio,maana aliniaga anaenda kumpa anty kampan,Zz ndo umegoma kuja haya tuache sie tuendelee hapa kulonga zaid
Mchezo huu wa kuunganisha maneno sjui utaisha lini,bora watoe kombe la ushindi kwa wote bila ya hivo tutaendelea kuucheza mpk dakika ya mwisho[emoji23] [emoji23]Zaid ya yote naupenda sana huu mchezo
[emoji23][emoji23] how are youMchezo huu wa kuunganisha maneno sjui utaisha lini,bora watoe kombe la ushindi kwa wote bila ya hivo tutaendelea kuucheza mpk dakika ya mwisho[emoji23] [emoji23]
You mean you are back in a game,ok lets continue[emoji23][emoji23] how are you
Continue with previous gossipsYou mean you are back in a game,ok lets continue