Litataqabaliwa ombi letu, tukiomba kwa pamojaLangu pekee halitoshi bora unganisha na la wenzio hapo package litataqabaliwa ,,,,,
Tukubali wetu utu, makabila sio hoja
Tanzania sote yetu, tuitunze kwa pamoja
Mungu tusaidie, tuepushe na mitihani
Litataqabaliwa ombi letu, tukiomba kwa pamojaLangu pekee halitoshi bora unganisha na la wenzio hapo package litataqabaliwa ,,,,,
Ukali wa wanawake mmmh!! Aaa aa mie sitothubutu kuwarudia...!!kumradhini hayo yangu binafsi...Litataqabaliwa pale ntakapokua mkweli,kunikubali kila hali,haijalisha hata ukiwa mbali.mapenzi ya halali ,ni matamu yasio na ukali.
Binafsi napenda sema ukweli,kwann usiwarudie.Ukali wa wanawake mmmh!! Aaa aa mie sitothubutu kuwarudia...!!kumradhini hayo yangu binafsi...
Litataqabaliwa ombi letu, tukiomba kwa pamoja
Tukubali wetu utu, makabila sio hoja
Tanzania sote yetu, tuitunze kwa pamoja
Mungu tusaidie, tuepushe na mitihani
Ukali wa pilipili ndio utamu wakeLitataqabaliwa pale ntakapokua mkweli,kunikubali kila hali,haijalisha hata ukiwa mbali.mapenzi ya halali ,ni matamu yasio na ukali.
Binafsi sijakuelewa, hebu fungunga tafadhaliUkali wa wanawake mmmh!! Aaa aa mie sitothubutu kuwarudia...!!kumradhini hayo yangu binafsi...
Wake kwa waume hawajui maana ya mapenzi,yanahitaji kuyaenzi,nuru yake ni kama mbala mwezi,huleta ukamili pale uwepo na mwenzi,Ukali wa pilipili ndio utamu wake
Wake kwa waume hawajui maana ya mapenzi,yanahitaji kuyaenzi,nuru yake ni kama mbala mwezi,huleta ukamili pale uwepo na mwenzi,
jf ni kiburudisho tosha kwangu
Mtaalamu wa niniKwangu pia, inaonekana we ni mtaalam
kwangu mim pia nimejifunza meng, yote yaliyo na msingi na tija ktk duniaWake kwa waume hawajui maana ya mapenzi,yanahitaji kuyaenzi,nuru yake ni kama mbala mwezi,huleta ukamili pale uwepo na mwenzi,
jf ni kiburudisho tosha kwangu
Dunia imeficha mengi,japo mengin hayajijengi.ukatili umeenea kwa wingi,kupigania shilingi,jamani tubadilikekwangu mim pia nimejifunza meng, yote yaliyo na msingi na tija ktk dunia
Nini tena zaidi ya kulea wa kiumeMtaalamu wa nini
Kiume ni jinsia yenye uvitio wa ajabu,nkieleza simalizi kwan naweza kua bubu.lkn mlivokua hamuna adabu,mmeamua kutupa tabu,mapenzi hayatizami kupigana kebu,badilikeni wenzanguNini tena zaidi ya kulea wa kiume
Wenzangu mbona mmeduwaa na mpo kimya kama maji ya mtungi..??Kiume ni jinsia yenye uvitio wa ajabu,nkieleza simalizi kwan naweza kua bubu.lkn mlivokua hamuna adabu,mmeamua kutupa tabu,mapenzi hayatizami kupigana kebu,badilikeni wenzangu
Mtungi huhifadhi mengiWenzangu mbona mmeduwaa na mpo kimya kama maji ya mtungi..??
Kiume ni jinsia yenye uvitio wa ajabu,nkieleza simalizi kwan naweza kua bubu.lkn mlivokua hamuna adabu,mmeamua kutupa tabu,mapenzi hayatizami kupigana kebu,badilikeni wenzangu
Sababu zipo ndugu,wanaume skuizi ni mabugu,kupata alietulia aghlabu,Mnapenda kutupa tabu.Wenzangu wamekusikia watabadirika, na wewe utulie basi utaishia kulaumu wanaume bila sababu
Tabu inawezekana unaileta mwenyewe, maana na nyie siku hizi ni kama wanaume tu, mnataka usawaSababu zipo ndugu,wanaume skuizi ni mabugu,kupata alietulia aghlabu,Mnapenda kutupa tabu.
Usawa huo unaousema kwangu sinaga hayo mambo.badilikeni jamaniTabu inawezekana unaileta mwenyewe, maana na nyie siku hizi ni kama wanaume tu, mnataka usawa
Jamani na nyie badilikeni, umeshatendwa nini? Siwezi amini fundi kama wewe yamekukuta hayoUsawa huo unaousema kwangu sinaga hayo mambo.badilikeni jamani