Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Kabisa bora ulivonikumbusha,kwani ulisikia wapi jamani nmesaliti?[emoji23]Muhimu saana ni kutokusalitiana hasa wewe nakukumbusha kabisaa
Kabisa bora ulivonikumbusha,kwani ulisikia wapi jamani nmesaliti?[emoji23]Muhimu saana ni kutokusalitiana hasa wewe nakukumbusha kabisaa
[emoji23] teh achana na hayo. Eeeh niambie za huko ulikoKabisa bora ulivonikumbusha,kwani ulisikia wapi jamani nmesaliti?[emoji23]
Uliko ww kwanza lazma nijue kama ni kwema au mafuriko ,huku niliko ni mambo bomba kabisa[emoji23] teh achana na hayo. Eeeh niambie za huko uliko
Kabisa wewe nakuona sio wa kisport sport. Kwangu pia kwema sema ugonjwa wangu rangi ya mtume na jina lako sasaUliko ww kwanza lazma nijue kama ni kwema au mafuriko ,huku niliko ni mambo bomba kabisa
Sasa si ndo mwanzo wa kujuana huku,rangi ya mtume ndo ipi hio[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa wewe nakuona sio wa kisport sport. Kwangu pia kwema sema ugonjwa wangu rangi ya mtume na jina lako sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] unanitania wewe, ni rangi nyweupe bwanaSasa si ndo mwanzo wa kujuana huku,rangi ya mtume ndo ipi hio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwana sasa nlikua sjui si ndo mana nkakuuliza,umeipendea nini kaka daby,mbona iko kawaida [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23] unanitania wewe, ni rangi nyweupe bwana
[emoji12] wacha tu sema mambo mengine hayatakagi ujuajiBwana sasa nlikua sjui si ndo mana nkakuuliza,umeipendea nini kaka daby,mbona iko kawaida [emoji12]
Ujuaji wa nini tena,si useme tu[emoji28] [emoji1] una mambo wewe[emoji12] wacha tu sema mambo mengine hayatakagi ujuaji
Wewe hapa kuna watoto na mama Wakwe sitaki kunukuliwa vibayaUjuaji wa nini tena,si useme tu[emoji28] [emoji1] una mambo wewe
Vibaya ndo vipi jamani[emoji23] [emoji23] unamuogopa nani kwaniWewe hapa kuna watoto na mama Wakwe sitaki kunukuliwa vibaya
Kwani wewe upo wapi kwanza kabla hatujafika mbali?Vibaya ndo vipi jamani[emoji23] [emoji23] unamuogopa nani kwani
vibaya hivyo Daby, we shauri yakoWewe hapa kuna watoto na mama Wakwe sitaki kunukuliwa vibaya
Mbali na hayo,mimi niko mji tulivu na pendwa,sjui wewe kaka Daby upo wapi kwa sasaKwani wewe upo wapi kwanza kabla hatujafika mbali?
Sasa hivi nipo mji tajwa katikati ya viunga vyakeMbali na hayo,mimi niko mji tulivu na pendwa,sjui wewe kaka Daby upo wapi kwa sasa
Vyake ni vyake ,hataki share na mtu,hata wewe hutaki sema upo wapiSasa hivi nipo mji tajwa katikati ya viunga vyake
Wapi wewe unataka kunirubuni tu. Mbona wewe haujasemaVyake ni vyake ,hataki share na mtu,hata wewe hutaki sema upo wapi
Haujasema kwanza wewe,hahaha au unamuogopa mkwe atakusemea[emoji23] [emoji23] mie ntasema mda ukifikaWapi wewe unataka kunirubuni tu. Mbona wewe haujasema
Ukifika saa ngapi? Haya umekwisha fika tiririka ebuHaujasema kwanza wewe,hahaha au unamuogopa mkwe atakusemea[emoji23] [emoji23] mie ntasema mda ukifika
We shauri yako umeshindwa kuendana na kasivibaya hivyo Daby, we shauri yako