Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Hukutupa vigezo sahihi ili tukuaminiMaana wewe ulitukarinisha hata maji hukutupa
Hukutupa vigezo sahihi ili tukuaminiMaana wewe ulitukarinisha hata maji hukutupa
Maana ya kuwa kiongozi hewa ndio ipi?Hawalijui kwasababu hakutafuta maana
Tukuamini vipi wakati ulisha jitoa...Hukutupa vigezo sahihi ili tukuamini
Ipi ndo ipi,maanake ni kutojua majukumuMaana ya kuwa kiongozi hewa ndio ipi?
Majukumu yangu ni kusaidia wtto yatima hadi wanaleghe !!Ipi ndo ipi,maanake ni kutojua majukumu
Wanaleghe ndio niniMajukumu yangu ni kusaidia wtto yatima hadi wanaleghe !!
nini usichokijua ktk kubaleghe !!!!?Wanaleghe ndio nini
Kubaleghe kumbee,ama kweli kiswahili ni kigumu mda mwngn ,au ulichapia kidogonini usichokijua ktk kubaleghe !!!!?
Kidogo nijikwae lakini alhamdulillah umenidakaKubaleghe kumbee,ama kweli kiswahili ni kigumu mda mwngn ,au ulichapia kidogo
Karimu na uaminifu lazma kila kiumbe awe navyo ,hakika atafanikiwaKidogo nijikwae lakini alhamdulillah umenidaka
Shukran ndg AQ una roho karimu !!
Atafanikiwa kwa lipi ??Karimu na uaminifu lazma kila kiumbe awe navyo ,hakika atafanikiwa
Lipi usilolijua hapo ZZ,atafanikiwa kuanzia maisha na kila kituAtafanikiwa kwa lipi ??
Kitu ambacho sikipendi ni wewe arabian kwin kutokunisalimiaLipi usilolijua hapo ZZ,atafanikiwa kuanzia maisha na kila kitu
kitu cha ajabu nimekiona ktk halfa ya wahitimu !!Lipi usilolijua hapo ZZ,atafanikiwa kuanzia maisha na kila kitu
Kutokunisalimia ndio kosa ulifanyalo pia,haya za mchana kaka Daby,nshakusalimia sasaKitu ambacho sikipendi ni wewe arabian kwin kutokunisalimia
Sasa wewe ulifikiri salamu inatia mimba? Haya nimeitikia mdogo wangu haujambo?Kutokunisalimia ndio kosa ulifanyalo pia,haya za mchana kaka Daby,nshakusalimia sasa
Haujambo na ww?mm sjambo ni mzima wa afyaSasa wewe ulifikiri salamu inatia mimba? Haya nimeitikia mdogo wangu haujambo?
Afya yangu nzuri nimejaa teleteleHaujambo na ww?mm sjambo ni mzima wa afya
Teletele ni kukumbukana tu ilo ndio la muhimuAfya yangu nzuri nimejaa teletele
Muhimu saana ni kutokusalitiana hasa wewe nakukumbusha kabisaaTeletele ni kukumbukana tu ilo ndio la muhimu