Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Makini yahitajika tunapokuwa tumebeba roho za watu ktk kila chombo !!Mbalimbali ajali zimetokea leo tunaomba Madereva kuweni makini
Makini yahitajika tunapokuwa tumebeba roho za watu ktk kila chombo !!Mbalimbali ajali zimetokea leo tunaomba Madereva kuweni makini
chombo hasa cha moto, maana kwa yaliyotokea si ya kitotoMakini yahitajika tunapokuwa tumebeba roho za watu ktk kila chombo !!
Kupangua safu inayo pambana na uhalifu ni kusababisha sintofahamu !!Makini watakuwa lakini Mungu akipanga jambo hakuna wa kupangua
kitoto cha chekechea siku hizi kinajuwa mambo ya kiutu uzima !!chombo hasa cha moto, maana kwa yaliyotokea si ya kitoto
Uzima tusiuchezee, haununuliwi dukanikitoto cha chekechea siku hizi kinajuwa mambo ya kiutu uzima !!
uzima wa mtu ni Mungu ndo anayejuakitoto cha chekechea siku hizi kinajuwa mambo ya kiutu uzima !!
Utu wa mtu ni tunu wala sii kitu cha kudharauAnayejua shida za wengine huyo ana utu
Kudharau misiba ya kitaifa ni dalili ya kutokuwa na imani na wanaadamuUtu wa mtu ni tunu wala sii kitu cha kudharau
Wanadamu/binadamu wote ni sawaKudharau misiba ya kitaifa ni dalili ya kutokuwa na imani na wanaadamu
Sawa nakubaliama na wewe,lakini usawa wetu unatufautiana,wengine ni makatili hawana tofauti na wanyamaWanadamu/binadamu wote ni sawa
Wanajisahau kwa kuwa wamelewa madaraka na wameshibishwa sifa za unafiki....Wanyama wakipewa uongozi wanajisahau
Unafiki ukiendelea malengo hatufikiiWanajisahau kwa kuwa wamelewa madaraka na wameshibishwa sifa za unafiki....
hatufukii naana tunapiga hatuwa moja mbeke na kurudii hatuwa tano nyuma !!Unafiki ukiendelea malengo hatufikii
Nyuma yako ,wote waliopita,walishaona dunia ilivo,iweje leo hii uwe mbishi kias hikihatufukii naana tunapiga hatuwa moja mbeke na kurudii hatuwa tano nyuma !!
hiki kizaz cha sasa, yatupasa kubadilikaNyuma yako ,wote waliopita,walishaona dunia ilivo,iweje leo hii uwe mbishi kias hiki
Kubadilika kwa kipi?hiki kizaz cha sasa, yatupasa kubadilika
Kipi kikusikitichasho?Kubadilika kwa kipi?
Kikusikitichasho itabidi utuambie wewe kwanza tukijueKipi kikusikitichasho?