Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
mwenzako yupi huyo? kama ni amina ana mwenzi wakeWengine wakina nani wewe ? Acha uchoyo kizuri kula na mwenzako
mwenzako yupi huyo? kama ni amina ana mwenzi wakeWengine wakina nani wewe ? Acha uchoyo kizuri kula na mwenzako
Wake mwenyewe ana wake hivyo bora akuje kwangu tu jamanimwenzako yupi huyo? kama ni amina ana mwenzi wake
jamani hii snapchat hiiWake mwenyewe ana wake hivyo bora akuje kwangu tu jamani
Hii haha kwani imefanya ninijamani hii snapchat hii
Hii hali ya hewa inanifanya najisikia uzuni sana maana watu wanalia sana hapa kwenye msiba nhc arushajamani hii snapchat hii
Arusha ni kuzuri saana. Habari za msiba ziache utatukumbusha machungu maana tumeondokewa na watoto wa ndugu zetuHii hali ya hewa inanifanya najisikia uzuni sana maana watu wanalia sana hapa kwenye msiba nhc arusha
Zetu dua wapumzike kwa amaniArusha ni kuzuri saana. Habari za msiba ziache utatukumbusha machungu maana tumeondokewa na watoto wa ndugu zetu
zetu, mimi na wewe hizo mbegu za mchicha nashangaa unazificha fichaArusha ni kuzuri saana. Habari za msiba ziache utatukumbusha machungu maana tumeondokewa na watoto wa ndugu zetu
Ficha wapi!zipo tu hapa kuja uzidonoezetu, mimi na wewe hizo mbegu za mchicha nashangaa unazificha ficha
Uzidonoe liasi chako na uwabakishie watakao kuja baadae...!!Ficha wapi!zipo tu hapa kuja uzidonoe
Baadae nitarudi wakuu kuweni na subiraUzidonoe liasi chako na uwabakishie watakao kuja baadae...!!
Baadae as roma vs as Milan wasiopenda Mpira utawajua hapaUzidonoe liasi chako na uwabakishie watakao kuja baadae...!!
Hapa siongopi ng'ooBaadae as roma vs as Milan wasiopenda Mpira utawajua hapa
Ng'ombe alotoroka akutwa chini ya daraja !!Hapa siongopi ng'oo
Ng'ombe alotoroka akutwa chini ya daraja !!
Kabisa siwandanganyi, kuna mtu aliwahi kuwaambia wana kigamboni kama hawana Tsh 200/= ya kulipia kivuko wapige mbizi.Daraja la Kigamboni limekua kivutio kikubwa kwa Tanzania yetu kabisa
Mbizi kupiga za nini, kwa watu wapo vitani.Kabisa siwandanganyi, kuna mtu aliwahi kuwaambia wana kigamboni kama hawana Tsh 200/= ya kulipia kivuko wapige mbizi.
Vitani ni mahala ambapo watu wanakabiliana na adui kwa kutumia mbinu mbalimbaliMbizi kupiga za nini, kwa watu wapo vitani.
Mbalimbali ajali zimetokea leo tunaomba Madereva kuweni makiniVitani ni mahala ambapo watu wanakabiliana na adui kwa kutumia mbinu mbalimbali