Nini??Mgumu kama nini
Nini??Mgumu kama nini
Nini ww jamaa kwanza ulikuwa wapi aiseeMgumu kama nini
aiseee hizi mvua hizi doohNini ww jamaa kwanza ulikuwa wapi aisee
Dooh na kama hauna wa kukuficha baridi kama mimi utakufwa kufwaaiseee hizi mvua hizi dooh
Nayo hii hali ya hewa hovyo sana inashawishi watu mtende midhambiWewe pia unawaza mbali, baridi ni juu yako kukabiliana nayo
nayo mataifa walilisifu jina la BwanaWewe pia unawaza mbali, baridi ni juu yako kukabiliana nayo
Bwana ni mkubwa leo bado jakitoo anapumua.nayo mataifa walilisifu jina la Bwana
Anapumua bure wala halipii kodiBwana ni mkubwa leo bado jakitoo anapumua.
Kodi ya kichwa siku hizi haipo.Anapumua bure wala halipii kodi
Haipo imeenda wapi?? Bado ipo mbn lkn kulipa tu mnakataa, mnajidai Magufuli kabanaKodi ya kichwa siku hizi haipo.
Kabana tena sana zaidi ya mwali aliyeahidiwa akitoa hataolewa bila bikra.Haipo imeenda wapi?? Bado ipo mbn lkn kulipa tu mnakataa, mnajidai Magufuli kabana
Bikra sku iz hamna imebakia storyKabana tena sana zaidi ya mwali aliyeahidiwa akitoa hataolewa bila bikra.
story wapi bikra zimejaa teleeBikra sku iz hamna imebakia story



2. Ndio mwanzo na mwisho wa hili ninalokuambiawalai kwa cheko hili utakuwa kilaza tu.
ninalokuambia mimi usiwaambie wengine2. Ndio mwanzo na mwisho wa hili ninalokuambia
Wengine wakina nani wewe ? Acha uchoyo kizuri kula na mwenzakoninalokuambia mimi usiwaambie wengine