Nini kinaendelea hapa jamani, niambieni kabla cjavamia mchezoNdani waingia kutafuta nini
Nini kinaendelea hapa jamani, niambieni kabla cjavamia mchezoNdani waingia kutafuta nini
Mchezo ndiyo ule ule umepotea sana hapa . KulikoniNini kinaendelea hapa jamani, niambieni kabla cjavamia mchezo
Kulikoni ndio nini hebu mkaribishe tena huyo mdada labda hakukaribishwa vizuri ndio maana anatu-dojiMchezo ndiyo ule ule umepotea sana hapa . Kulikoni
Anatu-doji kiswhl cha wapi mdogo wanguKulikoni ndio nini hebu mkaribishe tena huyo mdada labda hakukaribishwa vizuri ndio maana anatu-doji
Wangu nimekumissimoAnatu-doji kiswhl cha wapi mdogo wangu
Nimekumissimo piaWangu nimekumissimo
Pia umenikimbia kule wangu isn't fair at allNimekumissimo pia
All in all English is not presidentPia umenikimbia kule wangu isn't fair at all
President is the head of state. Na Tanzania the head of state is Hon JPMAll in all English is not president
JPM.. sijutii kumchaguaPresident is the head of state. Na Tanzania the head of state is Hon JPM
Hon Jpm says sipangiwi..President is the head of state. Na Tanzania the head of state is Hon JPM
Kumchagua huyu c makosa bali ndio chaguo languJPM.. sijutii kumchagua
Wewe nenda angaza humu umepoteaHodihodi
Langu halikuwa hili ila ntafanyaje sasa na ndiyo mambo yameshakuwa mamboKumchagua huyu c makosa bali ndio chaguo langu
Langu tatizo ni kutopenda siasaKumchagua huyu c makosa bali ndio chaguo langu
Siasa ni: maneno mengi vitendo kidogo!Langu tatizo ni kutopenda siasa
Mi mgeniWewe nenda angaza humu umepotea
Mgeni wewe ni wapi mbona kama tunafahamiana.. heshimu sheria za mchezo sawa mama?Mi mgeni