Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Hii ni kutokana na Bashite kukataa kutoa cheti chakeVyeti feki vilianzaje mpk kufikia hatua hii
Hii ni kutokana na Bashite kukataa kutoa cheti chakeVyeti feki vilianzaje mpk kufikia hatua hii
Chake kingelianza kutoka je mambo yangekuwa shwari?Hii ni kutokana na Bashite kukataa kutoa cheti chake
Shwari ingetokea kama sheria ingefuatwa na kila mmoja wetu kuanzia viongozi wa juu hadi wananchi woteChake kingelianza kutoka je mambo yangekuwa shwari?
Wote tungepata tulivu ya nafsi kwani kila kitu kingekua ktk mpangilio wakeShwari ingetokea kama sheria ingefuatwa na kila mmoja wetu kuanzia viongozi wa juu hadi wananchi wote
Wake zetu ndio vitulizo vya nafsi pekee katika ulimwengu huu.Wote tungepata tulivu ya nafsi kwani kila kitu kingekua ktk mpangilio wake
Huu usawa lazma akili zikae sawa kwa kipindi hikiWake zetu ndio vitulizo vya nafsi pekee katika ulimwengu huu.
Hiki kitapita na tutakutana na kingine chenye kuwa sifa zake ambazo hazifahamiki kwa sasaHuu usawa lazma akili zikae sawa kwa kipindi hiki
Sasa itabidi tujikaze tu hata kama maisha magumu kwa maana ndo magufuli kashaamua iwe hiviHiki kitapita na tutakutana na kingine chenye kuwa sifa zake ambazo hazifahamiki kwa sasa
Hivi ndivyo alivyoamua, maana anajiita ni dereva wa lori(sijui lori aina gani) ambaye hasikii kelele za abiria, hata muda wa kuchimba dawa hamna.Sasa itabidi tujikaze tu hata kama maisha magumu kwa maana ndo magufuli kashaamua iwe hivi
Hamna kwa maana kaamua kutukomoa,huu kweli mwaka wetuHivi ndivyo alivyoamua, maana anajiita ni dereva wa lori(sijui lori aina gani) ambaye hasikii kelele za abiria, hata muda wa kuchimba dawa hamna.
Wetu sote lakini tunaoumia ni wananchi tulio na kipato cha chiniHamna kwa maana kaamua kutukomoa,huu kweli mwaka wetu
Chini na kua juu kimapato yote ni majaribu,magufuli angelisimami hili wala yasingefikia hukuWetu sote lakini tunaoumia ni wananchi tulio na kipato cha chini
Huku jamvini tunajifunza mengi sana tusiyoyajuaChini na kua juu kimapato yote ni majaribu,magufuli angelisimami hili wala yasingefikia huku
Tusiyoyajua hutufunza na tu tunayoyajua hutukumbushaHuku jamvini tunajifunza mengi sana tusiyoyajua
Hutukumbusha mambo ambayo yaliwahi kutokea tangu Jamboforum hadi sasa Jamii ForumTusiyoyajua hutufunza na tu tunayoyajua hutukumbusha
JamiiForums imevamiwa na watoto imebidi tuanze kuwachekecha wabaki tu ng'ang'ari !!Hutukumbusha mambo ambayo yaliwahi kutokea tangu Jamboforum hadi sasa Jamii Forum
ng'ang'ari ni?JamiiForums imevamiwa na watoto imebidi tuanze kuwachekecha wabaki tu ng'ang'ari !!
Ng'ang'ari wapo utawatambua kulingana na hoja zao wanazozifikisha na kuzijadili katika maadili mema na yenye kuvutia na kufunza wasiokuwa na maadili mazuri.JamiiForums imevamiwa na watoto imebidi tuanze kuwachekecha wabaki tu ng'ang'ari !!
Maadili mazuri yapo kwa wasukuma yaani sijawahi ona aisee n.b Mimi sio msukuma wakuuNg'ang'ari wapo utawatambua kulingana na hoja zao wanazozifikisha na kuzijadili katika maadili mema na yenye kuvutia na kufunza wasiokuwa na maadili mazuri.
Wakuu tujifunze, tuelimke ili tuwe chachu katika maendeleo ya nchi yetu, maana sasa inakoelekea anayejua ni Mungu pekeeMaadili mazuri yapo kwa wasukuma yaani sijawahi ona aisee n.b Mimi sio msukuma wakuu