Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Maana yake ni kuongea bila kushirikisha oblongatakuropoka ropoka hakufai unajikuta unaropoka mpaka visivyo na maana
Maana yake ni kuongea bila kushirikisha oblongatakuropoka ropoka hakufai unajikuta unaropoka mpaka visivyo na maana
Oblongata or oblangataMaana yake ni kuongea bila kushirikisha oblongata
Oblangata ni sehemu ya ubongo inayohusika na matendo yasiyokuwa ya hiari.Oblongata or oblangata
Hiari ni pasipo kulazimishwa jamboOblangata ni sehemu ya ubongo inayohusika na matendo yasiyokuwa ya hiari.
"oblangata" ila ujumbe umefikaOblongata or oblangata
Umefika na umeeleweka, karibu sana jamvini"oblangata" ila ujumbe umefika
jamvini nimesha karibia, na wala sijutii kuingiaUmefika na umeeleweka, karibu sana jamvini
Jamvini tumeshakaribia tunasubir msosiUmefika na umeeleweka, karibu sana jamvini
Msosi hampati, bei za vyakula zimepanda sana haijawahi kutokeaJamvini tumeshakaribia tunasubir msosi
msosi wa msibani huwa mtamu sijui kwannJamvini tumeshakaribia tunasubir msosi
Kwanini wewe haujanisalimia?msosi wa msibani huwa mtamu sijui kwann
Haujanisalimia kwa sababu hauna heshimaKwanini wewe haujanisalimia?
heahima ni kitu cha bure hakilipiwi hata kodiHaujanisalimia kwa sababu hauna heshima
Kodi skuizi zinazid kupanda beiheahima ni kitu cha bure hakilipiwi hata kodi
Kodi zetu zinatumiwa ovyo sana na Bashiteheahima ni kitu cha bure hakilipiwi hata kodi
Bei ya simu yako shilingi ngapi wewe arabianKodi skuizi zinazid kupanda bei
Arabian simu yake ni super originalBei ya simu yako shilingi ngapi wewe arabian
Original wapi wakati unatumia tecno alajiArabian simu yake ni super original
Original ni haba sana hasa kwenye vyetiArabian simu yake ni super original
Vyeti feki vilianzaje mpk kufikia hatua hiiOriginal ni haba sana hasa kwenye vyeti