Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Hadhi yao hulingana na kipatoSana sana kwa kuwa waFaransa ni wenye Romance na madaha zenye hadhi...!!!
Hadhi yao hulingana na kipatoSana sana kwa kuwa waFaransa ni wenye Romance na madaha zenye hadhi...!!!
Kipato chenyewe hakikidhi mahitaji !!!Hadhi yao hulingana na kipato
Mahitaji yakikosekana mwisho wake lawamaKipato chenyewe hakikidhi mahitaji !!!
Lawama hapewi mbwa,mara nying anapewa binadamu,,,huku sijawaona toxic na super woman kwa muda sasa au wamebadili id nyingineMahitaji yakikosekana mwisho wake lawama
Lawama hilaumiwi wewe ntalaiwa mie ndo mchochezi !!!Mahitaji yakikosekana mwisho wake lawama
Nyingine zitawasili baada ya container kutolewa bandarini...Lawama hapewi mbwa,mara nying anapewa binadamu,,,huku sijawaona toxic na super woman kwa muda sasa au wamebadili id nyingine
bandarin hali sasa ni shwari hakuna ulanguzi kama kipind kile cha awaliNyingine zitawasili baada ya container kutolewa bandarini...
Awali ya yote napenda kuwasalimu wapenzi wote wa uzi huu maridhawabandarin hali sasa ni shwari hakuna ulanguzi kama kipind kile cha awali
Maridhawa si haba kimaridadiAwali ya yote napenda kuwasalimu wapenzi wote wa uzi huu maridhawa
Kimaridadi jinsi ulivyoweza kuimudu intavyuu yako jana.Maridhawa si haba kimaridadi
Jana nilikutana na lijitu likubwalikubwaKimaridadi jinsi ulivyoweza kuimudu intavyuu yako jana.
Likubwalikubwa kama nini?Jana nilikutana na lijitu likubwalikubwa
Nini?Likubwalikubwa kama nini?
Nini ulichokuwa unakijibu kikaangoni?Nini?
Nini kitatokea mwakaniNini?
Nini kitatokea mwakani
Mwakani kutakuwa na warsha nyingi saanaNini ulichokuwa unakijibu kikaangoni?
Saana nyingi zitakuwa ni za kimaadiliMwakani kutakuwa na warsha nyingi saana
Kimaadili sio vizuri kuropokaSaana nyingi zitakuwa ni za kimaadili
Kuropoka kumekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya viongozi wetu.Kimaadili sio vizuri kuropoka
kuropoka ropoka hakufai unajikuta unaropoka mpaka visivyo na maanaKimaadili sio vizuri kuropoka