Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Feki ni kitu ambacho hakina ubora baada ya kutengenezwa kiwandaniUmenipata vipi wakati una vyeti feki
Feki ni kitu ambacho hakina ubora baada ya kutengenezwa kiwandaniUmenipata vipi wakati una vyeti feki
Kiwandani Au viwandani Eti Mwifwa umesahau nchi ya viwanda.Feki ni kitu ambacho hakina ubora baada ya kutengenezwa kiwandani
Tafadhali kaka Mtebetini Heshima yako mkuuWanajitapia maana yake tafadhali
Mkuu nchi ya viwanda imegeuka kuwa ya utekaji na ukandamizaji kwa wananchi wakeTafadhali kaka Mtebetini Heshima yako mkuu
Wake kwa waume ndio Bongo yetuMkuu nchi ya viwanda imegeuka kuwa ya utekaji na ukandamizaji kwa wananchi wake
RTD imetoweka utadhani haikuwahi kutamba hapo zamaniYetu Afrika, ilikuwa ni klabu moja kubwa ya salamu enzi zile za RTD.
Zamani walikuwa vizuri sikuhizi wanavurunda tuRTD imetoweka utadhani haikuwahi kutamba hapo zamani
Tu tu tu tu ni mlio unaofanania na bunduki iliyofyatuliwaZamani walikuwa vizuri sikuhizi wanavurunda tu
Iliyofyatuliwa risasi wakati wa kupigania uhuruTu tu tu tu ni mlio unaofanania na bunduki iliyofyatuliwa
Uhuru wa nchi hii haukudaiwa kwa mtutu wa bunduki au huko kwenu mliudai kwa mtutu?Iliyofyatuliwa risasi wakati wa kupigania uhuru
Mtutu? Nauogopa SanaUhuru wa nchi hii haukudaiwa kwa mtutu wa bunduki au huko kwenu mliudai kwa mtutu?
Sana sana unaonekana mtoto wa mama weweMtutu? Nauogopa Sana
Mtutu ulipigwa pale wananchi walipoingia barabarani kudai haki zao kama ishara ya kuwatawanya raia warudi majumbani kwao DabyUhuru wa nchi hii haukudaiwa kwa mtutu wa bunduki au huko kwenu mliudai kwa mtutu?
Wewe ni RavenSana sana unaonekana mtoto wa mama wewe
Daby anaendelea kukusikilizaMtutu ulipigwa pale wananchi walipoingia barabarani kudai haki zao kama ishara ya kuwatawanya raia warudi majumbani kwao Daby
Raven huyu mtoto nampenda saanaWewe ni Raven
Sanaa kuliko umpendae?Raven huyu mtoto nampenda saana
Sana ndio mapenziRaven huyu mtoto nampenda saana
Umpendae? Ni nani huyo naomba nimjueSanaa kuliko umpendae?