Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Limetanda vuguvugu tu usijali wee tawakal upasuwe njia....Tena na mtaji sikuweka, mbele naona giza limetanda
Limetanda vuguvugu tu usijali wee tawakal upasuwe njia....Tena na mtaji sikuweka, mbele naona giza limetanda
Njia iliyonyooka ni ya watu wemaLimetanda vuguvugu tu usijali wee tawakal upasuwe njia....
Limetanda vuguvugu tu usijali wee tawakal upasuwe njia....
Njia iliyonyooka ni ya watu wema
Sepetu ni kifaa cha ujenziWema ni jina la mtu, yule mtoto wa Sepetu.
wachache hutengeneza na wengi wetu huharibu !!Njia ya kwenda peponi, wafuatayo ni wachache.
Wachache sanaNjia ya kwenda peponi, wafuatayo ni wachache.
Sana sana utaambukia kiinua mgongo laki sita !!Wachache sana
Sana ukikadiria ni sawa na sifuriWachache sana
Sifuri ni yangu na milioni ni zako!!Sana ukikadiria ni sawa na sifuri
ha ha ha usikejeri mawazo ya wana jukwaa!!HAHAHA
Sita Kwa Sita Ni Kitanda Kizuri Sana Ila Ukigombana Na Mkeo/mpenzi Utajuta Maana Kinakuwa Kama Vitanda Viwili

Hi.fuata sheria za huu uzi
Sifuri ni yangu na milioni ni zako!!
Sifuri Nayo Ni Namba? Kama Ndiyo Vinywaji Vyote Vilivyoandikwa 0% ALCOHOL Ni Vilevi.Sana ukikadiria ni sawa na sifuri
Jukwaa ni huru huwezi kulinganisha na Tume ya uchaguziha ha ha usikejeri mawazo ya wana jukwaa!!
Uchaguzi ni moja ya demolrasia chache duniani kuthibitisha uwepo wa rai na maoni !!!Jukwaa ni huru huwezi kulinganisha na Tume ya uchaguzi