Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

UNA MAANA GANI MKUU ME MGENI
Mgeni ukiingia ni busara kubisha hodi, huu uzi kama unavyosomeka kwenye kichwa cha habari naomba urudi ukurasa wa kwanza ili usome maelekezo halafu utaweza kwenda sambamba na sisi
 
Mgeni ukiingia ni busara kubisha hodi, huu uzi kama unavyosomeka kwenye kichwa cha habari naomba urudi ukurasa wa kwanza ili usome maelekezo halafu utaweza kwenda sambamba na sisi
sisi maria no geto wahala... nimeimba kidogo
 
Chati na mkulu umwambie movie tumezichoka, abadilishe mfumo huku mtaani hali si swari, naona kama dunia inazunguka kinyume mwendo saa
Sio tu mwendoka saa hata mwendokas angeongeza pia kuliko sehemu chache wanajitapia
 
Back
Top Bottom