Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Tudhibitishie kama kweli Paul Makonda anaitwa Daudi Albert BashiteOffinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie
Tudhibitishie kama kweli Paul Makonda anaitwa Daudi Albert BashiteOffinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie
Bashite utawajua tu. Ni kuthibitisha sio kudhibitishaTudhibitishie kama kweli Paul Makonda anaitwa Daudi Albert Bashite

Utokako wewe hawajui kiswahili arifuTudhibitishie sio neno la kiswahili labda cha kwenu huko utokako
Arifu wewe nakujua vizuri saana aseehUtokako wewe hawajui kiswahili arifu
TUKI.. TUKI.. TUKI.. acha utani tufuateni sheria za huu mchezoArifu wewe nakujua vizuri saana aseeh
Kushibitisha bado halijatolewa maana yake na TUKI
Mchezo mtamu sana kama madaraka ya kulevyaTUKI.. TUKI.. TUKI.. acha utani tufuateni sheria za huu mchezo
Kulevya watu wasio na nguvu ni ulimbukeniMchezo mtamu sana kama madaraka ya kulevya
Mchezo huu hauhitaji hasira lakiniTUKI.. TUKI.. TUKI.. acha utani tufuateni sheria za huu mchezo
Lakini hatuwezi kupata mshindi hapaMchezo huu hauhitaji hasira lakini
Hapa niwaambie kitu neno zanzibar limetokana na zang-bar yaani zang ni weusi na bar ni pwani hivyo ni pwani ya watu weusiLakini hatuwezi kupata mshindi hapa
'Hapa Kazi Tu"Lakini hatuwezi kupata mshindi hapa
Weusi ndio asili yetu Bara la AfrikaHapa niwaambie kitu neno zanzibar limetokana na zang-bar yaani zang ni weusi na bar ni pwani hivyo ni pwani ya watu weusi
Afrika ni pazuri ukiwa njeWeusi ndio asili yetu Bara la Afrika
Nje kuna uhuru wa kujielezaAfrika ni pazuri ukiwa nje
Kujieleza kwako ndiko kutanifanya nikuamini. Hili halina ubishiNje kuna uhuru wa kujieleza
Muwazi kwa lipiLizy ni mkweli na muwazi