Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Wapi naweza kupata pipi jojo?Hii awamu sidhani hata kama yenyewe tu inajua si tu kutupeleka wapi, bali hata yenyewe inaenda wapi.
Wapi naweza kupata pipi jojo?Hii awamu sidhani hata kama yenyewe tu inajua si tu kutupeleka wapi, bali hata yenyewe inaenda wapi.
Jojo ya nini wakati kuna bazokaWapi naweza kupata pipi jojo?
Bazoka sizipendi napenda labda ninunuliwe na mremboJojo ya nini wakati kuna bazoka
Mrembo wa Arusha kanishindisha njaa ktk baridi !!Bazoka sizipendi napenda labda ninunuliwe na mrembo
Baridi kw majira haya lazima itakuwa ni ya kutishaMrembo wa Arusha kanishindisha njaa ktk baridi !!
Kutisha tu, nilipata baridi haswa wakati nipo stendi nikisubiri daladala....Baridi kw majira haya lazima itakuwa ni ya kutisha
Daladala za Dar es salaam hasa mbagala zinahitaji ujitoe muhanga kuparangana kupandaKutisha tu, nilipata baridi haswa wakati nipo stendi nikisubiri daladala....
Kupanda na kushuka kwa uchumi wetu husababisha sintofahamu !!!Daladala za Dar es salaam hasa mbagala zinahitaji ujitoe muhanga kuparangana kupanda
Make nafanya uyapendayoSintofaham hufahamika tu kum make
Uyapendayo ndio kipaumbele chakoMake nafanya uyapendayo
Chako kithamini, hata kile cha kuchakachua.Uyapendayo ndio kipaumbele chako
Kuchakachua kumeshamiri sana katika kusaka tongeChako kithamini, hata kile cha kuchakachua.
Kuchakachua siku hizi kupo sana tu hasa kwenye mapenziChako kithamini, hata kile cha kuchakachua.
Rahisi kumajiri kazi mgeni kuliko kumpatia mTZ baadae akakuletea utata.....Sokoni kuna nazi za bei rahisi
Utata gani jamani, wa Makonda au Bashite?Rahisi kumajiri kazi mgeni kuliko kumpatia mTZ baadae akakuletea utata.....
Bashite huyohuyo ambae anatajwa sana ktk sakata la vyeti feki,hata tukakaa na kusubiri kwa hamu kama atatumbuliwaUtata gani jamani, wa Makonda au Bashite?
Atatumbuliwa endapo sheria ikifuatwa kikamilifuBashite huyohuyo ambae anatajwa sana ktk sakata la vyeti feki,hata tukakaa na kusubiri kwa hamu kama atatumbuliwa