Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Pumzi mpumlie shingoni, na vilevile kisogonikutosha kufika kileleni mwa mlima, yahitaji afya njema; na ya kutosha pumzi.
Pumzi mpumlie shingoni, na vilevile kisogonikutosha kufika kileleni mwa mlima, yahitaji afya njema; na ya kutosha pumzi.
Kisogoni sio kuzuri kamwe, ni bora ukashike mic, ingawa pia utalemaa usizoeePumzi mpumlie shingoni, na vilevile kisogoni
Kisogoni ina ashiria dharau kwa makabila mengine !!!Pumzi mpumlie shingoni, na vilevile kisogoni
Usizoee kulalamika lalamika itakupeleka kuwa masikini na mnyonge !!!Kisogoni sio kuzuri kamwe, ni bora ukashike mic, ingawa pia utalemaa usizoee
Mnyonge atetewe, asinyongwe aokelewe.Usizoee kulalamika lalamika itakupeleka kuwa masikini na mnyonge !!!
Aokolewe kwa boya asizame, nawe mpigie mbizi umnyanyue !!Mnyonge atetewe, asinyongwe aokelewe.
Umnyanyue!! Kwanini wakati kataka mwenyewe kukaa chini..Aokolewe kwa boya asizame, nawe mpigie mbizi umnyanyue !!
Chini uvunguni alifuata chungu cha kupikia...Umnyanyue!! Kwanini wakati kataka mwenyewe kukaa chini..
Moyoni tunaficha hazina la siri nyingi lakini hazisaidi zaidi ya kujitwika misongo!!Hili nalo silo la kukaa nalo moyoni
Misongo ya mawazo ni janga kubwa kwenye mapenziMoyoni tunaficha hazina la siri nyingi lakini hazisaidi zaidi ya kujitwika misongo!!
Mapenzi yana thamani gani ktk mila za waswahili...?!?Misongo ya mawazo ni janga kubwa kwenye mapenzi
Waswahl tuna tabia nyingi za ajabuMapenzi yana thamani gani ktk mila za waswahili...?!?
Ajabu hiyo ndiyo majanga yenyewe.., Maana tufanyavyo sivyo kimaadili !!Waswahl tuna tabia nyingi za ajabu
Kimaadili ni vyema kuvaa kwa kujisitiriAjabu hiyo ndiyo majanga yenyewe.., Maana tufanyavyo sivyo kimaadili !!
Kujisitiri vizuri kwa mavazi ya heshima kwa wanawake ni jambo gumu sana katika karne hii ya mwendo digitalKimaadili ni vyema kuvaa kwa kujisitiri
Digital ndio nini na wewe?, acha kutuchanganyia kiswahili chetu na udhungu, tusijejing'ata ulimi bureee!Kujisitiri vizuri kwa mavazi ya heshima kwa wanawake ni jambo gumu sana katika karne hii ya mwendo digital
Bureee ni raha sana ukiibahatisha, tena kwa wakati huu mgumu ambapo kila kitu kipo juuDigital ndio nini na wewe?, acha kutuchanganyia kiswahili chetu na udhungu, tusijejing'ata ulimi bureee!
Juu nikipanda, huwa sijisikii kabisa kushukaBureee ni raha sana ukiibahatisha, tena kwa wakati huu mgumu ambapo kila kitu kipo juu