Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Kweli mimi sipendi mnachokifanya hasa wew staciaBingwa inalewesha kweli?
Kweli mimi sipendi mnachokifanya hasa wew staciaBingwa inalewesha kweli?
Stacia ndo bingwa waJF, na mrembo wa ktk halaiki ....Kweli mimi sipendi mnachokifanya hasa wew stacia
Halaiki hii inanisoma, nasema sitaki kuamini mpaka stacia atume picha yakeStacia ndo bingwa waJF, na mrembo wa ktk halaiki ....
Picha yake haina mvuto bora aje mwenyewe !!!Halaiki hii inanisoma, nasema sitaki kuamini mpaka stacia atume picha yake
Thatsit huyeyuka kama theluji....Mwenyewe namwona kakimbia bora nimwite thatsit
Theluji ni nini unaweza kunionyesha picha yakeThatsit huyeyuka kama theluji....
Urahisi umefanya usielewe kanuni za mchezo huuKama kunauwezekano turudie kura ya kumpendekeza mgombeya mpya wa urahisi.....
Zipi zilizoivia mtini na zipi mbichi...!!!Kanuni zipi?
Zipi zile sheria za wana wa munguKanuni zipi?
Mungu ndie kimbilio letuZipi zile sheria za wana wa mungu
Letu sote na inapaswa tumnyenyekeeMungu ndie kimbilio letu
Tumnyenyekee kwa yeye dikteta au mkarimu!???Letu sote na inapaswa tumnyenyekee
Wangu mkali ukimkanyaga tu tayari analianzishaMkarimu kama mama chanja wangu!?
Analianzisha vipi mkuu we ukimkanyaga tu mtupie na wallet kama ajasema Fanya tena Daby(in daby's bby voice)Wangu mkali ukimkanyaga tu tayari analianzisha
Daby ni babu wa watu anayetokea namtumbo songeaAnalianzisha vipi mkuu we ukimkanyaga tu mtupie na wallet kama ajasema Fanya tena Daby(in daby's bby voice)
Songea kwa kina jokateDaby ni babu wa watu anayetokea namtumbo songea