Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Kumzungunzia BashiteJamani huyo mtu marufuku kumzungumzia
Kumzungunzia BashiteJamani huyo mtu marufuku kumzungumzia
Mungu ni mwema na 2Mungu ndie kimbilio letu
Mungu atatufikisha 2020 tutaweka mwenye uwezo wa utawala Bora.Mungu ndie kimbilio letu
2 inafuata baada ya 1 . Ila kinachonishangaza ni huyo mwanaume aliyebeba mtotoMungu ni mwema na 2
Bora lipi zaidi tunayo yafanya, Hatustahili heri yeyote !!Mungu atatufikisha 2020 tutaweka mwenye uwezo wa utawala Bora.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo2 inafuata baada ya 1 . Ila kinachonishangaza ni huyo mwanaume aliyebeba mtoto
akuavyo ndama ndiyo ngombe !!Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Zz ndio zizi au?Ngombe ndio nn zz![]()
![]()
Au wewe unaumwaa eeeh?Zz ndio zizi au?
Stacia nimefanyaje tena jamaniKweli mimi sipendi mnachokifanya hasa wew stacia
Mwenyewe ndo mimi au kuna mwinginePicha yake haina mvuto bora aje mwenyewe !!!
Jamani kuumwa kunakujaje tena!!Stacia nimefanyaje tena jamani
Huu mchezo mtamuuu hatariUrahisi umefanya usielewe kanuni za mchezo huu
Mwingine Mimi hapa nampango wa kukutongoza kwani umeolewa mkuuMwenyewe ndo mimi au kuna mwingine
Mbichi hazijachumwa badoZipi zilizoivia mtini na zipi mbichi...!!!
Mtungo tenaTanzania pesa zake sio adimu ila zina thamani ndogo kama demu aliyepigwa mtungo
