Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
nk nk !! sijui mkuu kabisa maana yakeNipe maana ya majina yanayoishia na "tus"
KM:- Revocatus,Bayatus,Jeventus nk nk !!
nk nk !! sijui mkuu kabisa maana yakeNipe maana ya majina yanayoishia na "tus"
KM:- Revocatus,Bayatus,Jeventus nk nk !!
Maana yake ni uswahiba !!nk nk !! sijui mkuu kabisa maana yake
Uswahiba wetu ulikuwa mpk tukafikia kuwa mke na mumeMaana yake ni uswahiba !!
Mume wako ni nani?Uswahiba wetu ulikuwa mpk tukafikia kuwa mke na mume
Nani anataka kumjuaMume wako ni nani?
Thatsit hana mumeKumjua mtu ni rahisi saana hasa ukifuata taratibu kama nilivyomuuliza thatsit
Mume na mzazi wa kiume kwa mwanamkeThatsit hana mume
Mwanamke ninayejiamn na jasiri na nitapewa tuzo ya malkia wa nguvu very soonMume na mzazi wa kiume kwa mwanamke
Soon I'll be going to congrats you after that special award.Mwanamke ninayejiamn na jasiri na nitapewa tuzo ya malkia wa nguvu very soon
Yangu nafsi bado haijaridhia na kinachoendelea nchini TanzaniaAward winning ilikua ni ndoto yangu
Tanzania bila siasa inawezekanaYangu nafsi bado haijaridhia na kinachoendelea nchini Tanzania
Inawezekana kabisa nikiwa rais na wewe makamuTanzania bila siasa inawezekana
Makamu wa rais hana mamlaka kamiliInawezekana kabisa nikiwa rais na wewe makamu
Mamlaka kamili ya wanamikakati wa mkukuta na mkurabi ipo chini ya himaya ya wahabeshi wa kiyunaniMakamu wa rais hana mamlaka kamili
Kiyunani ndo wepi haoMamlaka kamili ya wanamikakati wa mkukuta na mkurabi ipo chini ya himaya ya wahabeshi wa kiyunani
Hao hao wenye choyo haoKiyunani ndo wepi hao
Hao ni wajinga sana, waambie wakirudia nitawachapa makofi.Hao hao wenye choyo hao