Ajabu ni pale Utakapokuwa unapelekwa na upepoKusogea kwa kasi ya ajabu
Upepo wangu wakupuliza weweAjabu ni pale Utakapokuwa unapelekwa na upepo
Saana na hasa nikiwa karibu yakoWewe thatsit ni mtu wa pekee saana
Yako Tamu SanaSaana na hasa nikiwa karibu yako
Karibu yako kuna moto na harufu ya moshi wa sumuSaana na hasa nikiwa karibu yako
Sumu ya panya haiui tenaKaribu yako kuna moto na harufu ya moshi wa sumu
Tena alipowasili jaji mahakamani wafungwa walisamama !!Sumu ya panya haiui tena
Walisimama wapi bana acha uongoTena alipowasili jaji mahakamani wafungwa walisamama !!
uongo kinyume chake ni ukweliWalisimama wapi bana acha uongo
Uongo ni aibu kwa mtu mzimaWalisimama wapi bana acha uongo
mzima wewe?Uongo ni aibu kwa mtu mzima
Wewe Princess Reina unanidhihaki !!?mzima wewe?
unanidhihaki wewe kwa kuniita jina lisilo langu, huyo 'Reina' ndio nani? Una kesi ya kujibu vinginevyo leo patachimbikaWewe Princess Reina unanidhihaki !!?
Patachimbika madawa nikichanganya bila kutahamaki ..!!unanidhihaki wewe kwa kuniita jina lisilo langu, huyo 'Reina' ndio nani? Una kesi ya kujibu vinginevyo leo patachimbika
bila kutahamaki ..!! barcelona wakafungwa 3-0 na juventusPatachimbika madawa nikichanganya bila kutahamaki ..!!
Jee hili neno linalo ishia "tus" napenda kulifahamu maana yapo majina mengi yana shabihia ...!!!?bila kutahamaki ..!! barcelona wakafungwa 3-0 na juventus
!!!! ????????Jee hili neno linalo ishia "tus" napenda kulifahamu maana yapo majina mengi yana shabihia ...!!!?
Nipe maana ya majina yanayoishia na "tus"!!!! ????????