Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Beach ni ufukwe kwa kiswahili fasahaNzuri kama Mahaba beach
Beach ni ufukwe kwa kiswahili fasahaNzuri kama Mahaba beach
Fasihi andishi au fasihi simulizi?Fasaha imetokana na Fasihi
Simulizi ni storytellingFasihi andishi ni hai kuliko simulizi
Simulizi ni nzuri kwa wasiojuo kusomaFasihi andishi ni hai kuliko simulizi
Simulizi ni nzuri kwa wasiojuo kusomaFasihi andishi ni hai kuliko simulizi
Kusoma sana nako ni Uoga wa maisha...Simulizi ni nzuri kwa wasiojuo kusoma
Maisha mtaani sahivi 2017 magumuKusoma sana nako ni Uoga wa maisha...
kazi nzur na mshahara mnono sikuizi zinaitaj a very inter actual personMagumu kwa wasiofanya kazi
'person' hili neno la kiingereza kulianzishia sentensi kwenye uzi huu ni majanga, hasa kama lugha haipandi kama mimi. Daby njoo kipande hii uokoe jahazikazi nzur na mshahara mnono sikuizi zinaitaj a very inter actual person
wapi ha ha ha ha ha ha umenichekesha sanaMshindi sabuni hiyo, sijui imepotelea wapi
hahahahaaaaaa'person' hili neno la kiingereza kulianzishia sentensi kwenye uzi huu ni majanga, hasa kama lugha haipandi kama mimi. Daby njoo kipande hii uokoe jahazi
Hahahahaaaaa! Cheko mubasharahahahahaaaaaa
Mubashara naona uzi unaendelea kusogeaHahahahaaaaa! Cheko mubashara