ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Akauze mihogoSokoni akanunue au akauze?
Akauze mihogoSokoni akanunue au akauze?
Dubai unaleta bidhaa za aina ganiAkauze zile bidhaa ninazolete toka Dubai...
Mihogo ni zao zuri japo linatumia muda mrefu hadi kufikia kuvunwaAkauze mihogo
kuvunwa kwa mazao ni mwanzo wa soko kucharuka !!Mihogo ni zao zuri japo linatumia muda mrefu hadi kufikia kuvunwa
Kucharuka kwa kijana mdogo kutaharibu maisha yake ya uzeenikuvunwa kwa mazao ni mwanzo wa soko kucharuka !!
Uzeeni tutakamilisha mzunguko ...Kucharuka kwa kijana mdogo kutaharibu maisha yake ya uzeeni
Mzunguko wa dunia katika mhimili wake bado unanichanganyaUzeeni tutakamilisha mzunguko ...
Unanichanganya ndg. Daby wewe ni msomi vipi duru duru za mashari kwa magharibi !!!Mzunguko wa dunia katika mhimili wake bado unanichanganya
Magharibi huchelewa kuliona jua kuliko mashariki.Unanichanganya ndg. Daby wewe ni msomi vipi duru duru za mashari kwa magharibi !!!
Mashariki hutangulia kwa saa 8 mbele yetu !!Magharibi huchelewa kuliona jua kuliko mashariki.
Yetu macho yaangaze kutazama kila kona ya mazingira penye uchafu tuutoeMashariki hutangulia kwa saa 8 mbele yetu !!
Tuutoe huu ushamba wa kulala na nguo usiku.Yetu macho yaangaze kutazama kila kona ya mazingira penye uchafu tuutoe
Usiku leo nipo na mchuchu hivyo staki keleleTuutoe huu ushamba wa kulala na nguo usiku.
Usiku leo nipo na mchuchu hivyo staki kelele
Nyumba yangu inavutia
Mwenzangu hongera kwa kuwa na inayovutiaEeeee mwenzangu
Inayovutia ni rangi nyeupeMwenzangu hongera kwa kuwa na inayovutia
Nyeupe ni Amani na nyeusi ni Shari...Inayovutia ni rangi nyeupe