Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kuliingiza Taifa la wachawi ktk jumuiya ya wastaarabu ni janga kubwa !!Wifu sio neno la kiswahili zz labda kama unalazimisha kuliingiza.
Kuliingiza Taifa la wachawi ktk jumuiya ya wastaarabu ni janga kubwa !!Wifu sio neno la kiswahili zz labda kama unalazimisha kuliingiza.
Janga kubwa limewakumba simba leoKuliingiza Taifa la wachawi ktk jumuiya ya wastaarabu ni janga kubwa !!
Leo itapita, jee tyumejifunza nini ili kesho tuchukuwe tahadhari...!!Janga kubwa limewakumba simba leo
Tahadhari tuache kushinda mitandaon tufanye kaziLeo itapita, jee tyumejifunza nini ili kesho tuchukuwe tahadhari...!!
Kazi nimeshamaliza muda wake kilichobaki ni kukuwinda mrembo AishahTahadhari tuache kushinda mitandaon tufanye kazi
Aishah mimi yenyewe namkubali ila basi tuKazi nimeshamaliza muda wake kilichobaki ni kukuwinda mrembo Aishah
Basi tu acheni niwapatie likeAishah mimi yenyewe namkubali ila basi tu
Like tu hata mm nawapa like za kutosha marafiki zanguBasi tu acheni niwapatie like
Zangu zako ila zako zako kwanini?Like tu hata mm nawapa like za kutosha marafiki zangu
Kwanini unashinda jf siku nzimaZangu zako ila zako zako kwanini?
Nzima huibeba mbovu hadi kuikarabati !!Kwanini unashinda jf siku nzima
Kuikarabati jf sio kazi ndogo aishaNzima huibeba mbovu hadi kuikarabati !!
Aisha ni binti mpole sanaKuikarabati jf sio kazi ndogo aisha
Sana sana ukiniuliza kuhusu kukesha JF nitakuambia je unaponiona nimekesha wewe unakuwa wapi muda huo?Aisha ni binti mpole sana
Muda huo napitia zoom tzSana sana ukiniuliza kuhusu kukesha JF nitakuambia je unaponiona nimekesha wewe unakuwa wapi muda huo?
Zoom tz wanatangaza ajira za uwongo. Hivi bado haujapata kazi?Muda huo napitia zoom tz
Kazi sjapata bado jamn nipe deal basZoom tz wanatangaza ajira za uwongo. Hivi bado haujapata kazi?
Sokoni akanunue au akauze?Basi uende sokoni
Akauze zile bidhaa ninazolete toka Dubai...Sokoni akanunue au akauze?