Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,036
Porini kuna matunda pori unayajua zz? ni matamu sanakusikiliza sauti za ndege huko porini !!!
Porini kuna matunda pori unayajua zz? ni matamu sanakusikiliza sauti za ndege huko porini !!!
Makubwa na wewe unapajuamo humuKunyesha huko kulisababisha mafuriko makubwa
Sana sana ni bora kunyamaza kuliko kuropokaPorini kuna matunda pori unayajua zz? ni matamu sana
game hii rules zake zipo flexible, kazi ni kwakoNyie wakina daby mnafanyaje rules of the game
Utamu gani, mbona una maneno mengi sana weweGhafla imagine umelala kwenye nyumba yako na ni usiku na upo peke yako na nje kuna mvua inanyesha ghafla ukasikia hodi kufungua mtoto wa kike, ukapata mgeni, na huyo mgeni mwenyewe ni wa kike na akawa anaomba hifadhi kwako kwa kuwa amepata matatizo na amekimbilia kwako na khanga moja tu na imelowana sana, je nikikupa peni kumalizia hii story utaimalizaje bila kuharibu utamu
Kwako nitakuja naomba ukaribishogame hii rules zake zipo flexible, kazi ni kwako
Wewe mtoto ni bora ukakaa vizuri mapaja yapo waziUtamu gani, mbona una maneno mengi sana wewe
Toxic9 hajasema banah daby unatumia falsafa kali kupata mchumba, lizy ameshakuelewa atakuja PM, ila pia ni lazima aniombe ruhusaJamani naomba kama wewe ni mzuri uje pm . Tupange namna ya kuendeleza hicho kilimo chako lizy maneno haya yalisemwa na toxic9
Wakulima walikuwa na wasi wasi maana mvua zilichelewakunyesha mvua ndio furaha yetu sisi wakulima
Ruhusa itoe basiToxic9 hajasema banah daby unatumia falsafa kali kupata mchumba, lizy ameshakuelewa atakuja PM, ila pia ni lazima aniombe ruhusa
Alichosema kilikuwa ni mtazamo wake ila tumewaza wazoo mojaKunyesha kwa mvua ehh, yani umewaza kama mimi wewe ni kiboko, i was thinking the same kuendeleza zz alichosema
basi siji, kama mpaka upitie mgongo wa toxic9Ruhusa itoe basi
Yako falsafa ni point tupu, sema umesahau pamoja na mkonge kupita nchini ila kuna kasumba ya mtandao, na pia sio wadau wote wanatumia simu zenye 4G LET so mtu unaweza quote mtu wa juu yako na hii horrible net ukashangaa upo kwenye post ya 20 wakati you were the first to quote, upo hapo dabyGame ili iwe tamu m qoute mtu wa juu yako.
Wazi waziWewe mtoto ni bora ukakaa vizuri mapaja yapo wazi
ruhusa ukitoa nitaomba Sakayo anisindikizeToxic9 hajasema banah daby unatumia falsafa kali kupata mchumba, lizy ameshakuelewa atakuja PM, ila pia ni lazima aniombe ruhusa
Kwako ni kujiachia tu vingine viende taratibu kwa ustadi uliotukuka mpaka uwe hoigame hii rules zake zipo flexible, kazi ni kwako
Basi subiri kwaresima ipite nitamruhusu lizy aje pmRuhusa itoe basi
Daby keshaenda kwenye lile Jukwaa pendwa lingineYako falsafa ni point tupu, sema umesahau pamoja na mkonge kupita nchini ila kuna kasumba ya mtandao, na pia sio wadau wote wanatumia simu zenye 4G LET so mtu unaweza quote mtu wa juu yako na hii horrible net ukashangaa upo kwenye post ya 20 wakati you were the first to quote, upo hapo daby
Moja haikai mbili imelala duh sakayooooAlichosema kilikuwa ni mtazamo wake ila tumewaza wazoo moja
Toxic9 nakusihi usiende kwanza tuangalie upepo unavumaje ndiyo nikuruhusu daby sio wa spotspotbasi siji, kama mpaka upitie mgongo wa toxic9