Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,032
Ghafla imagine umelala kwenye nyumba yako na ni usiku na upo peke yako na nje kuna mvua inanyesha ghafla ukasikia hodi kufungua mtoto wa kike, ukapata mgeni, na huyo mgeni mwenyewe ni wa kike na akawa anaomba hifadhi kwako kwa kuwa amepata matatizo na amekimbilia kwako na khanga moja tu na imelowana sana, je nikikupa peni kumalizia hii story utaimalizaje bila kuharibu utamuBanah mie kwahulka zangu ni mpole ila hucharuka ghafla....!!