Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kikabila kipi mkuu hahahahahahahaha, mimi mtu wa kaskazini, sakyo mtanga, alibakari huyu atakua mruguru huyu, Aishah huyu mzanzibar huyu, unaona mkuu makabila mbalimbali, wewe zamiluni zamiluni ni mkenya you see, karibu mkuu
Mkuu acha kuotea
 
jamani mbona nilitoa asante au umesahau? Manake na wewe mgumu kukumbuka halafu mwepesi kusahau
Kusahau kwangu ni ngumu sana, nakumbuka ukifurahi ila hukusema ahsante , nakusubiria next time nikupe huduma nzuri zaidi kuliko hii, nitaboresha vingi karibu tena
 
Back
Top Bottom