Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,146
ugoro bashite anatumia piaMgogoro au ugoro?
ugoro bashite anatumia piaMgogoro au ugoro?
wauza ngada kipindi hiki kwisha habari yake, wanaisoma nambaPia inasemekana anatumia ndinga za wauza ngada!
Namba na herufi ni lazima uzisome ili kuzielewawauza ngada kipindi hiki kwisha habari yake, wanaisoma namba
kuzielewa zimeeleweka lakini mambo bado ni magumuNamba na herufi ni lazima uzisome ili kuzielewa
Magumu yote yamesababishwa na utawala ambao umelenga kujaza matumbo yao kwanza bila kujali wanyonge huku wakijinasibu kuwajali wanyonge
WIN! You must be JokingSasa nimebaki kuwa wa mwisho...all i do is WIN
Game lishakuwa la kizungu, naona njama za kucheza wenyewe.Joking is the name of the game
Wenyewe tunashida zetu halafu mnaanza kutuzungusha kutulipa hela zetu wakati kazi tumeshamaliza.Game lishakuwa la kizungu, naona njama za kucheza wenyewe.
Tueishamaliza na mimi ndie mshindiWenyewe tunashida zetu halafu mnaanza kutuzungusha kutulipa hela zetu wakati kazi tumeshamaliza.
Nipo hapa bingwa wa mieleka !!Mshindi wa pili,,maana wa kwanza npo
Mume wake ni mtumishi serikaliniMieleka!!!!!!!ilisikika sauti ikisema mumewangu.