Pamoja tutaweza kama tutashikamana kwa pamoja hasa mimi na weweMengi gani me nimekusudia mnajibu kwa pamoja
Wewe nakuamini kwa ukweli wako uliyo wazi kama mlango wa mahakama....!!Pamoja tutaweza kama tutashikamana kwa pamoja hasa mimi na wewe
Mahakama ndicho chombo pekee cha kutafsiri sheria tanzaniaWewe nakuamini kwa ukweli wako uliyo wazi kama mlango wa mahakama....!!
Serikali zote zina mikakati adhimuMahakama ni muhimili mmoja wapo wa serikali
mikakati adhimu endapo inatekelezekaSerikali zote zina mikakati adhimu
Atakuhukumu Mungu pekee kwa kutudanganya daraja la mwl Nyerere la kwenda kigamboni lipo kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini ilihali tozo la watumia daraja hilo ni gharama sanaAnakuona km umedanganya wenzio na ipo cku atakuhukumu
Tumhonge nani mkuu, awamu hii hakuna pakuhonga, labda ujihonge mwenyeweAtakuhukumu jaji yupi kwenye jesi yako ili tumhonge
Kwanza daby kabla hujamuonga jaji, aga familia kabisa waambie watakukuta magereza ya ukongaTumhonge jaji mkuu kwanza
Ukonga yupo jirani yangu hadi sasa kaozea humoKwanza daby kabla hujamuonga jaji, aga familia kabisa waambie watakukuta magereza ya ukonga
Baadae ehhh thatsitKwanza nakunywa chai Daby tutaendelea baadae
Karibu yako namuona mdada fulani hapo ofsin anakutolea macho naona huja mua_attend upo busy kuchat jfBaadae ipi !wewe mchoyo hata karibu?
Mahakama ni muhimili unaojitegemeaWewe nakuamini kwa ukweli wako uliyo wazi kama mlango wa mahakama....!!
Inatekelezeka kweli lizy? Hii sera ya equal right for WOMEN and MEN , theoretically YES but NOT practicallymikakati adhimu endapo inatekelezeka
Practically ina maana kwa vitendo haitekelezekiInatekelezeka kweli lizy? Hii sera ya equal right for WOMEN and MEN , theoretically YES but NOT practically
Haitekelezeki toka enzi na enzi,Practically ina maana kwa vitendo haitekelezeki
Enzi zote huwepo mapungufu na huwepo ukamilifu hata siku moja huwepo mwangaza na kiza!!Haitekelezeki toka enzi na enzi,