Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Mimi ni wa kolomije.
Kolomije kule kwa Bashite au kwingine?Mimi ni wa kolomije.
Bamia ni mboga nzuri sana ipikwe vizuri, iwe served na wali naziKwingine wapi wanauza bamia
Kolomije or call me jMimi ni wa kolomije.
Sana sana tutumie za azam tu time saving, retain aman's reputation instead ya mwanaume kukalisha kitako unakuna nazi etiNazi zimepanda bei vibaya sana
huna haja kubinua kiuno,kiuno kikiuma nini dawa yakeSana sana tutumie za azam tu time saving, retain aman's reputation instead ya mwanaume kukalisha kitako unakuna nazi eti![]()
huna haja kubinua kiuno,
Kiuno ni kipana au cha bugwi ?Sana sana tutumie za azam tu time saving, retain aman's reputation instead ya mwanaume kukalisha kitako unakuna nazi eti![]()
huna haja kubinua kiuno,
Bungwi ndiyo nini hicho?Kiuno ni kipana au cha bugwi ?
Hicho ndicho choo kilichobomokaBungwi ndiyo nini hicho?
Dawa yake ni massage tu lizy, vipi kiuno chako kinauma?kiuno kikiuma nini dawa yake
Kilichobomoka kinaweza kujengwa tenaHicho ndicho choo kilichobomoka
Bugwi ni size gani hiyo buddy, wewe unapenda mwanamke awe na kiuno cha mithili gani? Kama nyigu ama??Kiuno ni kipana au cha bugwi ?
Yupo ananikanda kiuno😉Ama toxic 9 yupo?
Kiuno inawezekana kinawasumbua wengi humu ndaniYupo ananikanda kiuno😉
Yupo wapi aishah wetu ametukimbia muda mrefu kahama jukwaaAma toxic 9 yupo?
Kiuno chako lizy kilaini sana wala hakiumi unataka tu nikishikeshike we sawa tu jamaniYupo ananikanda kiuno😉
Ndani humu ni lizy tu anaumwa kiuno,Kiuno inawezekana kinawasumbua wengi humu ndani