Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Enzi zote huwepo mapungufu na huwepo ukamilifu hata siku moja huwepo mwangaza na kiza!!
Kiza kinene kimetanda wananchi hatujuwi tunaelekea wapi, miongozo tafadhali wale wanaojua where heading , hali ya uchumi individually , siasa uhuru wa kunadi sera nk haviko stable leo hii vile vitu/bidhaa necessity kwa matumizi ya kila siku kwa mwananchi wa kipato cha chini eg unga, sukari, maharage nk bei ni za juu jahazi is about to sink.... Helpppp help
 
Nimerudi nyumbani kulima....
Kulima siku hizi ni kama adhabu, tukilalamika hali ni mbaya utasikia kalimeni,sasa mvua hakuna, pembejeo hazifiki kwa wakati, ardhi asilimia kubwa wamepewa wawekezaji, hakuna subsides kwa wakulima wadogo wadogo, mikopo interest rate is high halafu kilimo ni cha kutegemea mvua, igweeeee
 
Back
Top Bottom