Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
ndoa...!! Mbona siku hiz zimepungua sio kama enzi za jk!?Wafungwa wengi na siyo wote huko wanaowana bila ndoa...!!
ndoa...!! Mbona siku hiz zimepungua sio kama enzi za jk!?Wafungwa wengi na siyo wote huko wanaowana bila ndoa...!!
Jk... a lasting memoir coming soonndoa...!! Mbona siku hiz zimepungua sio kama enzi za jk!?
Mzee wa rika,umri na hali yeyote ni wajibu wetu kumheshimu na kumenzi huo ndiyo utu na ustaarabu..!!Soon tutamwelewa mzee
Ustaarabu una maana pana saana. Kila mtu anatafsiri yakeMzee wa rika,umri na hali yeyote ni wajibu wetu kumheshimu na kumenzi huo ndiyo utu na ustaarabu..!!
Yake,yao au yetu yote ni maana moja na ni "civilization" (hadhara) wala siyo zaidi ya hapo!!Ustaarabu una maana pana saana. Kila mtu anatafsiri yake
Hapo, hapa na pale ni visawe vinavyoashiria uelekezi wa mahali.Yake,yao au yetu yote ni maana moja na ni "civilization" (hadhara) wala siyo zaidi ya hapo!!
nonihino wanauza sudani temeke na uwanja wa fisiMahali gani wanauza nonihino
Fisi utawajua tu. Vituo vyote vya nanihino wanavijuanonihino wanauza sudani temeke na uwanja wa fisi
wanavijua haswa, ila hawataki kuweka waziFisi utawajua tu. Vituo vyote vya nanihino wanavijua
Wanavijua vyuma chakavu !!!Fisi utawajua tu. Vituo vyote vya nanihino wanavijua
Wazi uliyopo ni mwanya mdogo kati ya ukuta..wanavijua haswa, ila hawataki kuweka wazi
Ukuta ukitajwa police wanashitukaWazi uliyopo ni mwanya mdogo kati ya ukuta..
Wanashtuka maana ni waogaUkuta ukitajwa police wanashituka
Waoga hawawezi kuwa wanaharakatiWanashtuka maana ni waoga
Wanaharakati wanataharuki za kiajaabu wanapo kutana ktk mtafaruku !!!Waoga hawawezi kuwa wanaharakati
Mtafaruku unapotokea ndo utawajua wakweli na waongoWanaharakati wanataharuki za kiajaabu wanapo kutana ktk mtafaruku !!!
mtafaruku upi?Wanaharakati wanataharuki za kiajaabu wanapo kutana ktk mtafaruku !!!
Waoga hawatarithi nchi yenye asali na maziwaWanashtuka maana ni waoga