Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Asubuh watu wanakuwa na "mood" za ajabu ajabu,inaonekana unapenda sana kutongoza.Mwenyewe nashangaa hali ya sasa,,unaweza ukatongoza mama ntilie akakuambia hajala tangu asubuh
Asubuh watu wanakuwa na "mood" za ajabu ajabu,inaonekana unapenda sana kutongoza.Mwenyewe nashangaa hali ya sasa,,unaweza ukatongoza mama ntilie akakuambia hajala tangu asubuh
Nilichonacho Mimi ni uwezo wa kupenda na kuheshimu watu wa kila aina bila kujali zao itikadi.Kutongoza ni kipaji pekee nlichonacho.
Itikadi yako ni ipiNilichonacho Mimi ni uwezo wa kupenda na kuheshimu watu wa kila aina bila kujali zao itikadi.
Ipi sababu iliyokusukuma kuniuliza itikadi yangu,Siwapendi na huwa nawakemea wabaguzi wa rangi na wabaguzi wa kipato.Itikadi yako ni ipi
Kipato duni mahitaji mabovuIpi sababu iliyokusukuma kuniuliza itikadi yangu,Siwapendi na huwa nawakemea wabaguzi wa rangi na wabaguzi wa kipato.

Mapovu ni neno linalopendwa na watu wasio Makini.Kipato duni mahitaji mabovu
Wanaotaka uspuni huishia kutokwa mapovu
![]()
![]()
![]()
Makini tusipokuwa tutaangamiaMapovu ni neno linalopendwa na watu wasio Makini.
Tutaangamia wote iwapo utanikubalia AishahMakini tusipokuwa tutaangamia
Aishah ni naniTutaangamia wote iwapo utanikubalia Aishah
Maarifa ni chanzo cha hekimaTutaangamia kwa kukosa maarifa,
Aishah... in harmorapa voice "Uthigawe Pathi"Tutaangamia wote iwapo utanikubalia Aishah
Hekima ya bwana mmoja maarufu na mwenye mamlaka hapa Nchini ni yakutiliwa wasiwasi.Maarifa ni chanzo cha hekima
Thatha thijamaa kukuomba pathi, teh teh Wewe huoni njisi Sepetu anavyogawa kama hayawani.Pathi gani thatha![]()
![]()
Wasiwasi juu ya utunzaji wa mazingira ili vizazi vijavyo wayakute vzrHekima ya bwana mmoja maarufu na mwenye mamlaka hapa Nchini ni yakutiliwa wasiwasi.
Wasiwasi juu ya utunzaji wa mazingira ili vizazi vijavyo wayakute vzr
Gani ni neno gumu kuanzia sentensi.vzr ndiyo mdudu gani?