Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Gani ni vzrvzr ndiyo mdudu gani?
Gani ni vzrvzr ndiyo mdudu gani?
Gani ni neno linalopatikana katika Kamusi ipi..? Pia Nikuulize hapa umekuja kwa shari ama kwa heri.vzr ndiyo mdudu gani?
Gani ni neno linalopatikana katika Kamusi ipi..? Pia Nikuulize hapa umekuja kwa shari ama kwa heri.
Vizur kuoga kila baada ya muda
Mgagani lina maana gani bi FaizaFoxy?Heri pia hupatikana kwenye mgagani
Mgagani ndio kitu gani?acha kuleta lugha zako za kiweyuliHeri pia hupatikana kwenye mgagani
Mgagani ni mmea ambao majani na matawi yake machanga yanavirutubisho Kuliko sukuma wiki na kabichi.Heri pia hupatikana kwenye mgagani
Misamiati ni maneno halisi kwenye lughaFaizaFoxy ana misamiati
Mgagani ndio kitu gani?acha kuleta lugha zako za kiweyuli
Mgagani nimeshajua ni mmeaKiweyuli ndiyo nini ewe Punguani wahed usiyeujuwa mgagani
Mgagani nimeshajua ni mmea
Mchicha naupenda saana kwa ugali bi FaizaFoxyMmea wenye virutubisho na ni mboga nzuri sana kuliko mchicha
Bi FaizaFoxy ni dadangu kwa imani....Mchicha naupenda saana kwa ugali bi FaizaFoxy
Jeuri ya mwizi ni gerezani.....Unamuona yule ambae ni kiburi na jeuri
Gerezani ni ngome ya wafungwaJeuri ya mwizi ni gerezani.....
Wafungwa wengi na siyo wote huko wanaowana bila ndoa...!!Gerezani ni ngome ya wafungwa