Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,737
- 51,152
Wanaharakati nchini wamenyimwa uhuru wa kujielezea, ni ngumu kufanya shughuli za kiharakati kuinusuru nchiWaoga hawawezi kuwa wanaharakati
Wanaharakati nchini wamenyimwa uhuru wa kujielezea, ni ngumu kufanya shughuli za kiharakati kuinusuru nchiWaoga hawawezi kuwa wanaharakati
Nchi yenye hali kama hii suluhisho lake ni?Wanaharakati nchini wamenyimwa uhuru wa kujielezea, ni ngumu kufanya shughuli za kiharakati kuinusuru nchi
Waongo wengi siku zao zinahesabika hususan wanasiasaMtafaruku unapotokea ndo utawajua wakweli na waongo
Nchi yenye hali kama hii suluhisho lake ni?
Wakuu wa uvinza hahhahaha gbefa niaje ndugu yangu, nasikia ndugu yangu unapenda mambo ya uvinzaLake ni la lako lakini lako si lake binadamu ndivyo tulivyo wakuu
Lieleweke hivi, 'Jambo hili sio la mzaha mzaha'ni kuliombea kwa kulala misikitini na makanisani hadi lielewke !!!
Ni.....Malizia tu mdomo wangu umekua mzito kunena ndugu yangu,Nchi yenye hali kama hii suluhisho lake ni?
Ukuta operations imefia wapi, kweli tunaisoma namba, nani bado hajaisoma namba?zimebaki namba za Kirumi tu.Wazi uliyopo ni mwanya mdogo kati ya ukuta..
Mzaha mzahaaa........Lieleweke hivi, 'Jambo hili sio la mzaha mzaha'
Wakuu wa uvinza hahhahaha gbefa niaje ndugu yangu, nasikia ndugu yangu unapenda mambo ya uvinza
Wote kama siyo wengi wao wanaotoka kigoma ni wachawiUvinza iko Kigoma kule mwisho wa rail, Hamjambo wote?
Wote tupo gado dah we jamaaaaa upo hahhaha shemela wa mamafacebook, karibu jamvini long timeUvinza iko Kigoma kule mwisho wa rail, Hamjambo wote?
Wachawi kwa Wachawi hujuana hahhahaha jamaaa yangu niaje, mtu mwenye matarajio ya kuwa presda 2020 mpaka tufike hapo tutakua tumeshazisoma namba mpaka basiWote kama siyo wengi wao wanaotoka kigoma ni wachawi
Mambo ya uvinza wanapenda wakubwa kama wewe Mimi bado labda miaka michache ijayo nitaanza ngoja niongezeke kiuchumi na kimo kidogo kwema lakini kakaWakuu wa uvinza hahhahaha gbefa niaje ndugu yangu, nasikia ndugu yangu unapenda mambo ya uvinza
Longtime buddy, lete mupya mamaafacebook II yupo wapi kaka?Wote tupo gado dah we jamaaaaa upo hahhaha shemela wa mamafacebook, karibu jamvini long time
Kaka kwema kabisa, tunamshukuru Mungu kwa kutupa pumzi...Mambo ya uvinza wanapenda wakubwa kama wewe Mimi bado labda miaka michache ijayo nitaanza ngoja niongezeke kiuchumi na kimo kidogo kwema lakini kaka
Kaka sijui ngoja nimcheki kwa cell phone yake nina contacts zake usijali, mupya hakuna labda wewe vipi kipande cha huko yapi yaliyojiri?Longtime buddy, lete mupya mamaafacebook II yupo wapi kaka?
Basi wakati nyinyi mnasoma hizo namba kutoka 1,2,3,4,5...... Mimi nilishaanza kuzisoma kinyume chake yaani nilianzia 10,9,8....... Huyu msukuma haelewekiWachawi kwa Wachawi hujuana hahhahaha jamaaa yangu niaje, mtu mwenye matarajio ya kuwa presda 2020 mpaka tufike hapo tutakua tumeshazisoma namba mpaka basi
Haeleweki lafudhi anayo zungumza hapo chuoni...Basi wakati nyinyi mnasoma hizo namba kutoka 1,2,3,4,5...... Mimi nilishaanza kuzisoma kinyume chake yaani nilianzia 10,9,8....... Huyu msukuma haeleweki