ashrafshu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 302
- 142
Vibweka haswa lkn et ndo wanasema sisi hatuna raha dunian2017 imejaa vibweka
Vibweka haswa lkn et ndo wanasema sisi hatuna raha dunian2017 imejaa vibweka
Duniani kuna mamboVibweka haswa lkn et ndo wanasema sisi hatuna raha dunian
'Mambo hayo', dah! Nililipenda sana hili igizoDuniani kuna mambo
Igizo jipya linakuja, kaa mkao wa kula'Mambo hayo', dah! Nililipenda sana hili igizo
Kula Mno Ni Hasara Na Kumbuka Kuna JelaIgizo jipya linakuja, kaa mkao wa kula
Jela? Na mzigo ule atafanywa kitu mbayaKula Mno Ni Hasara Na Kumbuka Kuna Jela
mbaya kwa sura na tabiaJela? Na mzigo ule atafanywa kitu mbaya
Tabia yake inazidi kutukerambaya kwa sura na tabia
Kutukera Kwa Makusudi Ni UbashiteTabia yake inazidi kutukera
Ukomeshwe kama mchanga wa madini kwenda njeUbashite lazima ukomeshwe
nje wapi! magu anaigiza ili tuanze kumsifia tena.Ukomeshwe kama mchanga wa madini kwenda nje
Tena inaingia jumapili mpya !!nje wapi! magu anaigiza ili tuanze kumsifia tena.
Mpya ni nzuri na huwa na rangi za kupendeza, nazungumzia vazi la mwanamke wa Kitanzania.Tena inaingia jumapili mpya !!
Tumepotezana kwa sababu ya hapa kazi tuMpya ni nzuri na huwa na rangi za kupendeza, nazungumzia vazi la mwanamke wa Kitanzania.
Mpo salama jamani humu, Zz tumepotezana!!!
Toto tundu haliwezi kujiunga katika mtandao wetuKile kilikua kipindi cha danganya toto
Wetu mpendwa mkuu wa mkoa onesha vyetiToto tundu haliwezi kujiunga katika mtandao wetu
Marinda ni soda taamu haswa ikiwa baridi...Vyeti Kwa bashite ni sawa na shoga kuonesha marinda