Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Kusingiziwa kama unamiliki ulozi ni jambo la kawaida huku Kwetu Uswahilini.Jinai ni mtu wa aina gani kila kosa kusingiziwa.
Kusingiziwa kama unamiliki ulozi ni jambo la kawaida huku Kwetu Uswahilini.Jinai ni mtu wa aina gani kila kosa kusingiziwa.
Uswahilini kuna vituko bakuli lilojaa mchuzi dagaa watano Ugali kama Ukuta.Kusingiziwa kama unamiliki ulozi ni jambo la kawaida huku Kwetu Uswahilini.
Amen mkuuHuku kwetu nilipigwa ganzi kamanda wangu, ila tupo pamoja sana gbefa, vipi mamaafacebook yupo wapi, nawasalimu wote in jesus name amen
Bhangi ni mmea wa ajabu sana, ima ukuponye ima ukupandikize uMadness !!magu anatakiwa aache bangi
Wasukuma ndiyo walojaaliwa ardhi yenye baraka...chakula cha jadi cha wasukuma
Wasukuma 'halisia' ni watu wakarimu sana......chakula cha jadi cha wasukuma
Baraka De-Prince ama Baraka yupi unayemzungumzia weweWasukuma ndiyo walojaaliwa ardhi yenye baraka...
Wasukuma 'halisia' ni watu wakarimu sana......
Wewe ni mstaarabu lakini hujapevuka !!!Baraka De-Prince ama Baraka yupi unayemzungumzia wewe
Unanukia ugonvi kati ya wTZ na wa Malawi sbb ni Maji nyasa...!!!Mwisho wa bashite unanukia