Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Yupo mkuu, halafu hebu nitoe hapo kwenye mzee wa totoz maana me sijakua hujue halafu bado namtafuta huba, sakayo mzima wa Afya tu, dah nilikumiss we jamaa ulikuwa wapi au ndio nanilia alikupiga stop au maana sio kupotea huku
Huku kwetu nilipigwa ganzi kamanda wangu, ila tupo pamoja sana gbefa, vipi mamaafacebook yupo wapi, nawasalimu wote in jesus name amen
 
Mi mshindi!
Patatobolekishwa linatokana na neno toboa ambalo linaweza kunyambuliwa na kuzaa maneno mengine km;

*Toboa, tobolewa toboleshwa toboleka toboleshana, toboana toboka nk.
Nk mkuu tupo pamoja mkuu, halafu tupo kwenye jukwaa la jokes so never mind my jokes, utani mwingi ndiyo habari ya hapa, sijakurekebisha kwa maana nyingine mkuu bali utani, you dont need to takes my jokes seriously
 
Back
Top Bottom