Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Zaidi unapendelea vyakula gani, ili siku nyingine nikupikie kitu roho inapenda
Roho inapenda kula ndiz nyama(maharage,samaki), wali maharage..... Tambi nyama....chips nyama(samaki mkavu)...hzi nyakati za usiku....lakini mchana ugali (dona+muhogo) mboga yoyote ile ikiongozwa na dagaa
 
Dagaa watamu sana, na wana madini mengi ufaa kwa kujenga mwili, nimekuelewa sana ila ugali usiku kama una match heavy sikushauri ule chips, kamata ugali ili kuwe na win_win
 
Mkuuuuuuuu dah aisehhhhh kwanza nimecheka dah nimekumiss sana teh teh teh kuna watu ni siku nyingi sijawasikia ukiwemo wewe mzeya wa totoz, mdogo wangu vipi dada yako sakayo nae kitambo sana, hivi yupo?
Yupo mkuu, halafu hebu nitoe hapo kwenye mzee wa totoz maana me sijakua hujue halafu bado namtafuta huba, sakayo mzima wa Afya tu, dah nilikumiss we jamaa ulikuwa wapi au ndio nanilia alikupiga stop au maana sio kupotea huku
 
huku hapaingiliki kirahisi
 
Back
Top Bottom