Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
imepanda daraja la super ligi.. huko Zimbia !!Sokoni bidhaa ya nyanya bei imepanda
imepanda daraja la super ligi.. huko Zimbia !!Sokoni bidhaa ya nyanya bei imepanda
kila kitu bei juuimepanda daraja la super ligi.. huko Zimbia !!
Juu hapo dp yako nimeipenda kweli.., ila ndg naomba ufuate taratibu na mwendelezo wa uzi huu adhimu...!!kila kitu bei juu
Aah pagum hapo,byeeJuu hapo dp yako nimeipenda kweli.., ila ndg naomba ufuate taratibu na mwendelezo wa uzi huu adhimu...!!
Byee !! mmh waenda wapi asubuhi ya leo...?Aah pagum hapo,byee
Byee !! mmh waenda wapi asubuhi ya leo...?
MMU ni mtoto wa mahaba niue....Leo Aah ntaharibu uzi,bora nirudi mmu
Koromije wanatoa wajanja wa kuitawala darNiue kabla sijakusemea kwa bashite wa koromije
Dar ilikuwa na mto Msimbazi enzi zile ila kwa sasa ni bonde la dampo !!!Koromije wanatoa wajanja wa kuitawala dar
Dar ilikuwa na mto Msimbazi enzi zile ila kwa sasa ni bonde la dampo !!!
Ukweli ulipo dhihuri uongo ukatoweka mbali kule!!Chelsea imekua timu ya ukweli
Kule nyuma kumbaya sana ukipita pekuUkweli ulipo dhihuri uongo ukatoweka mbali kule!!
Peku peku mwisho ukanyage misumariKule nyuma kumbaya sana ukipita peku
Mshindi huwezi kuwa weweMimi ndo wa mwisho.. Kwa hiyo mm ndo mshindi..
Wewe kwani ndiye sheh yahaya mtabiri au??Mshindi huwezi kuwa wewe
Au ndiyo mie niliyeibuka bingwa!!Wewe kwani ndiye sheh yahaya mtabiri au??