Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Zero kabisa zilipatikana ktk matokeo ya mitihani....Wakuu wa mikoa wenye tuhuma kama hizi ni zero kabisa
Zero kabisa zilipatikana ktk matokeo ya mitihani....Wakuu wa mikoa wenye tuhuma kama hizi ni zero kabisa
Mitihani sio mitihani huu Uzi ni mtihani usio na mshindi eti kila neno Lina maanaZero kabisa zilipatikana ktk matokeo ya mitihani....
Maana ya kuchimbana ktk jamii ni tabia na hulka za wanafiki....Mitihani sio mitihani huu Uzi ni mtihani usio na mshindi eti kila neno Lina maana
Hili jukwaa hususan huu uzi umevamiwaWanafiki walikuwepo hata kwa yesu na mikate walikula nimemis hili jukwaa
Jukwaa limepwaya kwa kupotea kwakoWanafiki walikuwepo hata kwa yesu na mikate walikula nimemis hili jukwaa
Matahira utawajua tuJukwaa hili unifanya naondoa stress pindi nikiwa nazo.
Coz humu ndan kuna wazima na matahira
Jukwaa hili kila mtu ni mbabe wa ushindi kibaya zaidi hata aliyelianzisha amepoteaWanafiki walikuwepo hata kwa yesu na mikate walikula nimemis hili jukwaa
Kwani toka aiposti alikuja kukomenti?Amepotelea wapi kwani
Hajaja kujitambulisha kwetu, sijui anaringa?!!?kukomenti ndo hajaja
Sababu gani zilizomfikisha mtanashati huko mahabusu!!!Anaringa kwa sababu gani
Mahabusu pasikieni tu jamaniSababu gani zilizomfikisha mtanashati huko mahabusu!!!
Jamani mumesikia Breaking News !!Mahabusu pasikieni tu jamani
Breaking News tutazisikia vipi na umeme umekatika siku ya tatu sasa, sijui zimetimia zile siku 14 alisema Mheshimiwa😵Jamani mumesikia Breaking News !!
Mheshimiwa Lizy umepokea mwaliko wa hafla ya harusi ??Breaking News tutazisikia vipi na umeme umekatika siku ya tatu sasa, sijui zimetimia zile siku 14 alisema Mheshimiwa😵
Hafla ya harusi ntakaribishwa vipi nami mchango sikutoa? WamenitosaMheshimiwa Lizy umepokea mwaliko wa hafla ya harusi ??
Wamenitosa kabisa kabisa hata siamini wakati Mimi nilikua ndugu wa bwana harusiHafla ya harusi ntakaribishwa vipi nami mchango sikutoa? Wamenitosa