Wapendwa wameamka salama awana budi kumshukuru molaMmeamkaje wapendwa
Yote ni mipango ya wMola wetu mlezi ndo hakimu wa yote
W, malzia ata liwe neno "wewe"
Wewe NI MTU WA ajabu sana! Amalizie nini sasaW, malzia ata liwe neno "wewe"
Sasa nawe unatakaje?Wewe NI MTU WA ajabu sana! Amalizie nini sasa
Unatakaje sasa shilawadu iwe kampuni?Sasa nawe unatakaje?
Kampuni?? Itakua balaa yaan umbea uwe na faida mpaka kuzalisha kampuniUnatakaje sasa shilawadu iwe kampuni?
Kampuni nyingine zinawinda twigaKampuni?? Itakua balaa yaan umbea uwe na faida mpaka kuzalisha kampuni
Twiga ilikuwa ni nembo ya ndege zetu bombadia na zile za ATCKampuni nyingine zinawinda twiga
ATC ni kirefu cha Arusha Technical CollegeTwiga ilikuwa ni nembo ya ndege zetu bombadia na zile za ATC
College za kisasa zipo nje ya nchi....ATC ni kirefu cha Arusha Technical College
Kenyata simfahamu sana mi nnaye mjua ni yule Bashite anayejiita PauloNchi ya Kenya ina Uhuru Kenyata
Paulo ni dini gani maana kila sehem namwonaKenyata simfahamu sana mi nnaye mjua ni yule Bashite anayejiita Paulo
yukoyuko kikangaoni bila kujua....Namwona kanisani namwona msikitini yaani kwa kifupi yukoyuko