Mtetezi wenu
Member
- Sep 14, 2011
- 84
- 171
Kispaniola ndio lugha ninayoipenda
Ha ha ha ha ha haKimoja tu hoi, siye wengine ndiyo uwezo tulojaaliwa!!!!
Mie sijambo, habarini za hali zenu wakuu wa jukwaa hili pendwaHa ha ha ha ha ha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamani mbavu zangu mie.
Duniani tunapitaPendwa na familia yako utapata raha hapa duniani
Wemaa sepetu anadai makonda kampangishia masogange mjengoDuniani tunapita
Tunatakiwa kutendeana wema.
Mjengo ni kipande cha ukuni wa kuezekea JengoWemaa sepetu anadai makonda kampangishia masogange mjengo
Jengo ni kamaa hilo unalomilikii wwMjengo ni kipande cha ukuni wa kuezegea Jengo
Tafadhal sana kesho usiachee msikilizaa makondaa kwanziaa SAA Mona asubuhi ..cloud fmWewe ni mtu special katika familia yako timiza wajibu tafadhali
The people station???, hivi hawa walitushirikisha tukakubaliana?Clouds fm "the people station"
Tukakubaliana kama tutagawana faidaThe people station???, hivi hawa walitushirikisha tukakubaliana?
Wawekezaji wenyewee wanapigwaa vitaaa nchi hapaTukakubaliana kwamba tusiiuze inchi yetu
Bali tukaribishe wawekezaji
Hapa tujitegemee tu hakuna namnaWawekezaji wenyewee wanapigwaa vitaaa nchi hapa
Mikopo ya Chuo inashida kukopeshwaNamna inatoweka kabisa ukikatwa 15% na bodi ya mikopo