Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sana, aliko sijui ako na hali ganiMoto umewashwa kwa gbefa.....by the way.....u hali gani now g.....miss you sana![]()
Sana, aliko sijui ako na hali ganiMoto umewashwa kwa gbefa.....by the way.....u hali gani now g.....miss you sana![]()
Kulipiwa haina haja maana twazidi ikuza lugha
Sielewi kinachoendelea humu piaLugha gani inayoongelewa humu?, mbona sielewi
Pia mie, vipi umeweka wine kidogo kichwani?Sielewi kinachoendelea humu pia
Makwapa ya kondoo hayana nguvu !!Zip au za kwenye makwapa
Chakula cha wakati ganiMchana uku kwetu ni chakula
Dem boy napatikana wakati wote si unaona hii coment nakoment saa ngapi?saa 3:00amWakati gani unapatikana dem boy
Akili hapa ndio nyumbani kwake, labda weweKichwani kwa Kituko nahc kuna lami na sio akili