goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Zangu ni kurekebisha kitanda na kuweka mapambo na harufu nzuri za kuvutia ili kufanya huduma nzuri ipasavyo.Kitandani sipendi kulala na wadogo zangu..!!
Zangu ni kurekebisha kitanda na kuweka mapambo na harufu nzuri za kuvutia ili kufanya huduma nzuri ipasavyo.Kitandani sipendi kulala na wadogo zangu..!!
Time ikifika utajua kilicho kuchelewesha...!!Tena usalama itakuwa ndani ya gari, show time.
Serives nzuri basi itakuwa ndani ya gari badala ya kitandani.Kitandani ni sehemu ya kupumzika na sio kufanya service
ipasavyo ntakuletea udi wa mawaridi ujifukize....Zangu ni kurekebisha kitanda na kuweka mapambo na harufu nzuri za kuvutia ili kufanya huduma nzuri ipasavyo.
Kitandani ni mahaba mubashara tuSerives nzuri basi itakuwa ndani ya gari badala ya kitandani.
Kuchelewesha mambo ya muhimu ni hatari piaTime ikifika utajua kilicho kuchelewesha...!!
Tu...tu...tushauri wanawake vijana na wazee wavae shanga na cheni kiunoni ili kunogesha mapenzi.Kitandani ni mahaba mubashara tu
Hivi wewe na mamaafacebook II ni twins au Mapacha?Taifa gani la kupuuzi hivi?
Ghafla tu umebadirika?, hongera lakini hiyo ndio sifa kwa mtoto wa kikeMakonda amekuwa maarufu ghafla
Mubashara haiwezekani wee huoni aibu., kwani mapenzi ni jambo la faragha !!!Mapenzi mubashara
Faragha??? werevaaMubashara haiwezekani wee huoni aibu., kwani mapenzi ni jambo la faragha !!!
Werevaa jaman supermarket yuko wapi?Faragha??? werevaa
Yuko wapi Toxic9Werevaa jaman supermarket yuko wapi?
Toxic9 nae hajulikani alipoYuko wapi Toxic9
Hajulikani alipo...... Inashangaza sana..... Tangia makonda aite wasanii central na yey akapotea kabisaToxic9 nae hajulikani alipo
Kabisaa inawezekana nae yumo kwa list ya walioitwaHajulikani alipo...... Inashangaza sana..... Tangia makonda aite wasanii central na yey akapotea kabisa
Walioitwa woote hawakuwa na makosa.Kabisaa inawezekana nae yumo kwa list ya walioitwa
Makosa yako yote nimesha kusamehWalioitwa woote hawakuwa na makosa.