BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Kusamehe kunahitaji moyo
Kusamehe ndiyo tiba ya roho na moyo wenye dukuduku !!!Makosa yako yote nimesha kusameh
Utaratibu unafuatwa kwa mantiki iliyopo kwa mwamuzi.....Dukuduku langu ni kwanini hamfuati utaratibu
nje ndani ndiyo mapenzi ya kisasa,happy Valentine couples,cc sakayoMwamuzi wa Yanga na Simba atoke nchi za nje
Sakayo sijui yu-wapi saa hizi,vp pacha za wapi uko powa?nje ndani ndiyo mapenzi ya kisasa,happy Valentine couples,cc sakayo
Powa culture ndio imetufikisha hapa wananchi na haikuwa tamaduni mbaya mambo yamebadilka sasa na sikila kitu ni Powa tenaSakayo sijui yu-wapi saa hizi,vp pacha za wapi uko powa?
Ngada,naomba niulize hili neno ni ngada au ng'anda?Sanaa ya maigizo inaendelea kwenye saga la ngada!
tatu ndo goli arsenal anafungwa leo first halfNg'anda tatu
Half London tulita Nairobi kwa uzuri wake, sijui leo ipojee?tatu ndo goli arsenal anafungwa leo first half
Mapema alfajiri ukiamka ukainuka ukaswali kumshukuru Mungu aliyerudisha uhai wako baada ya kukufisha kwa muda kadha !!Ipoje timu ya Arsenal, kila mwaka inatolewa kwenye Mechi za UEFA mapema
Kwa muda kadhaa nikiwa nasubiri ushindi wangu Kwa kuamini kuwa mimi ndo wa mwishoMapema alfajiri ukiamka ukainuka ukaswali kumshukuru Mungu aliyerudisha uhai wako baada ya kukufisha kwa muda kadha !!
Sakayo nimekuja, umeniita mkuunje ndani ndiyo mapenzi ya kisasa,happy Valentine couples,cc sakayo