Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
mfuko mtupu hauhongi mpenzi....Siku yake ni kila siku leo ni unafiki mtupu
mfuko mtupu hauhongi mpenzi....Siku yake ni kila siku leo ni unafiki mtupu
Mpenzi ananoga akiwa wako pekeakomfuko mtupu hauhongi mpenzi....
Ni ukweli kabisaaa mpenz wa wengi ni stress tupu maana unakuwa unawaza mwenzio kmfanyaje, kampga style gan ana enjoy akiwa na yule au mm?Mpenzi ananoga akiwa wako pekeako
mm ndiyo mimi?Ni ukweli kabisaaa mpenz wa wengi ni stress tupu maana unakuwa unawaza mwenzio kmfanyaje, kampga style gan ana enjoy akiwa na yule au mm?
Pekeako ndo unaongoza kwa urembo ktk orodha.....Mpenzi ananoga akiwa wako pekeako
Orodha ya wapiga kura imepoteaPekeako ndo unaongoza kwa urembo ktk orodha.....
Imepoteaje wakati imehifadhiwa kwenye mtandaoOrodha ya wapiga kura imepotea
mtandao mbona unabunguliwa tu na virusiImepoteaje wakati imehifadhiwa kwenye mtandao
Virusi vya Ukimwi vitasambaa kwa kasi siku ya Leomtandao mbona unabunguliwa tu na virusi
Ameen, thanks kwa kusambaza upendoLeo ni jumanne 2017 February 14, ni siku ya wapendanao me nawapenda nyote humu ndani muwe na siku njema muepushwe na maumivu ya kimapenzi ameen..
Wapi mabasi ya mendokasi hufanyiwa servicesUpendo na njaa wapi na wapi
Services ya valentine day inafanyika leo usiku kitandani.Wapi mabasi ya mendokasi hufanyiwa services
Kitandani sio salama tenaServices ya valentine day inafanyika leo usiku kitandani.
Kitandani sipendi kulala na wadogo zangu..!!Services ya valentine day inafanyika leo usiku kitandani.
Wadogo zangu nawapenda mie nalala naoKitandani sipendi kulala na wadogo zangu..!!
nao wadogo hao hujikojolea usingizini....Wadogo zangu nawapenda mie nalala nao
Tena usalama itakuwa ndani ya gari, show time.Kitandani sio salama tena