Bokoboko sijawahi kupika aiseeMlo wa leo sikaribishi mtu, aisee bokoboko
Aisee unashangilia watu kupata mlo kwa njia ya haramu!Bokoboko sijawahi kupika aisee
Aiseeee, habarini za jumapili wakuuBokoboko sijawahi kupika aisee
Wakuu wote wamelala nimebaki Mimi tuuAiseeee, habarini za jumapili wakuu
Niko macho mimi pia..... Nawatafuta Toxic9 na gbefa nani kawaona??? Au wameitwa centralMimi tuu ndio niko macho

Fiesta???Central kulikuwa na Fiesta
KwelKweli, wasanii wa filamu na muziki walikuwepo, we hujuiFiesta???Kwel
We ndo hujui..... Ile ilikua interview na sio fiesta...... Ajira zimetokaKweli, wasanii wa filamu na muziki walikuwepo, we hujui

Macho kazi yake kuona, kwani kuna walolala sa hiziMimi tuu ndio niko macho
Hizi ni picha zako kweliMacho kazi yake kuona, kwani kuna walolala sa hizi
kweli huyu ndiye gwajimaHizi ni picha zako kweli
Gwajima leo yupo kanisani kwenye kuendesha Ibadakweli huyu ndiye gwajima
ibada huelekezwa kwa mmoja tu aloumba mbingu na ardhi....Gwajima leo yupo kanisani kwenye kuendesha Ibada
Ardhi imekuwa ghali sana 20×20ft milioni 4!!!ibada huelekezwa kwa mmoja tu aloumba mbingu na ardhi....