Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Labda ni hamie huko madongo poromoko !!Mwalimu wa chekechea labda
Labda ni hamie huko madongo poromoko !!Mwalimu wa chekechea labda
Nchi hii ina hadhi kubwa ya katika kanuni za kisheria...!!kwani makonda ni nani katika hii nchi
Kisheria huu uzi unatakiwa uishe mwaka huuNchi hii ina hadhi kubwa ya katika kanuni za kisheria...!!
Huu uzi tunaulipia kodi ya mapato kwa njia za simu hivyo hatutaumaliza bila kuhusika TRA..Kisheria huu uzi unatakiwa uishe mwaka huu
Tanzania ni nchi isiyo na ubaguzi...!!TRA hii ni mamlaka ya kukusanya mapato Tanzania
Thread hii ina kurasa 3599 wa mwisho ni mimi.Utaipenda JF lakini Wambuzi atawajibika na hii thread
Sio wewe ni mimi wa 3600Thread hii ina kurasa 3599 wa mwisho ni mimi.
3600 hawezi kuwa mwisho kabisaSio wewe ni mimi wa 3600
Amani ndiyo zip code yetu ukiwa huna anuani, wee bonyeza neno "amani"tz ni kisiwa cha amani
Amani ni jina la mtu vile vileAmani ndiyo zip code yetu ukiwa huna anuani, wee bonyeza neno "amani"
Utulivu ukitawala shari hutoweka.....!!Amani au utulivu?
Utulivu ni lazima kama una jambo la muhimu unafanyaAmani au utulivu?
Unafanya ubishi katika tamko la Serikali...!!Utulivu ni lazima kama una jambo la muhimu unafanya