stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
Wengi wanahusika ila wametajwa wachacheUchumi ulivyo kwa sasa,kuuza unga kutatuhusu wengi
Wengi wanahusika ila wametajwa wachacheUchumi ulivyo kwa sasa,kuuza unga kutatuhusu wengi
Wachache hawa tukiwabana vizuri watatuonesha wanapochukua,wanapouza na wanaotumia,hivyo zoezi la kutokomeza hii biashara haitakuwa ngumu kama tunavyofikiliaWengi wanahusika ila wametajwa wachache
Wachache hao wakidhibitiwa waliyobaki watatapatapa na kuumbuka !!!Wengi wanahusika ila wametajwa wachache
Tunavyofikiria ni nje ya uwezo tulionao maana mtandao wao ni janga la jahanamu!!!Wachache hawa tukiwabana vizuri watatuonesha wanapochukua,wanapouza na wanaotumia,hivyo zoezi la kutokomeza hii biashara haitakuwa ngumu kama tunavyofikilia
Wachache kutajwa ndiyo mwanzo ya orodhaWengi wanahusika ila wametajwa wachache
Orodha yao ipo ikulu tayariWachache kutajwa ndiyo mwanzo ya orodha
Orodha mbona inajulikana tangu awali..?Wachache kutajwa ndiyo mwanzo ya orodha
Awali orodha ilikuwa inaogopwa nafikiri kwa sasa miti mingi imempata mjenziOrodha mbona inajulikana tangu awali..?
Awali hawakushughulikiwa wakati wao umefika wa kuhojiwaOrodha mbona inajulikana tangu awali..?
Tangu awali walishajulikana,swali la kujiuliza kwanini mbaka leo bado wajakamatwa??Orodha mbona inajulikana tangu awali..?
Hawajakamatwa kwa sbb hakuna ushuhuda mubashara dhidi yao.. tu ni kukisiwa !!!Tangu awali walishajulikana,swali la kujiuliza kwanini mbaka leo bado wajakamatwa??
Kukisiwa ni mbaya sanaHawajakamatwa kwa sbb hakuna ushuhuda mubashara dhidi yao.. tu ni kukisiwa !!!
Mbaya sana kama umekisiwa wakati ahuusiki hata theruthiKukisiwa ni mbaya sana
Sana na ina madharaKukisiwa ni mbaya sana
wakuu inabidi mjisalimishe centralBaadae kuna nini mbina mmetulia humu ndani wakuu
Sababu utataftiwa tuCentral bila sababu
Utatafutiwa tu ubambikizwe msala mantashau..!!Sababu utataftiwa tu